Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,192
- 6,141
- Thread starter
- #41
kwahiyo nifanyaje mkuu? Japo kuna wakati unaweza ukala na kupotezea sawa.Lakini baada ya muda fulani unaanza kumkumbuka na kutamani ungedumu naye kwenye mahusianoHuwa inatokea huna habar na binti hasa baada ya kumla.Ni kupoteza hali ya upendo ndani yako.Itakuchukua muda mrefu kuanza kupenda tena.Pole sn