KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 538
Ndugu zangu nashauri kuwa NGO au taasisi yoyoye yenye mapenzi mema na mstakabari wa matokeo ya uchaguzi ulio huru na wa haki iandae semina elekezi ya kuwaandaa kisaikologia watendaji wa Jeshi, Usalama wa Taifa, Polisi, viongozi wa serikali, na wana CCM kukubali kuwa wanaweza kuongozwa na Kiongozi kutoka kambi ya upinzani na akawatimizia mahitaji yao kwa mjibu wa sheria za nchi. Hii itasaidia sana hata katika kuhakikisha kuwa watendaji hao hawaegemei upande mmoja kuhakikisha ushidi wa lazima kwa chama tawala wakidhani ndicho peke yake kinaweza kuwatimizia mahitaji yao. Kama hakuna Taasisi au NGO ya kufanya hivyo, basi hata JF ichukue jukumu hilo kabla uchaguzi haujafanyika.
wana JF mnasemaje?
wana JF mnasemaje?