Ushauri- Semina elekezi kwa Jeshi, polisi na viongozi kumkubali mpinzani kuwa rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri- Semina elekezi kwa Jeshi, polisi na viongozi kumkubali mpinzani kuwa rais

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIDUNDULIMA, Oct 15, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu nashauri kuwa NGO au taasisi yoyoye yenye mapenzi mema na mstakabari wa matokeo ya uchaguzi ulio huru na wa haki iandae semina elekezi ya kuwaandaa kisaikologia watendaji wa Jeshi, Usalama wa Taifa, Polisi, viongozi wa serikali, na wana CCM kukubali kuwa wanaweza kuongozwa na Kiongozi kutoka kambi ya upinzani na akawatimizia mahitaji yao kwa mjibu wa sheria za nchi. Hii itasaidia sana hata katika kuhakikisha kuwa watendaji hao hawaegemei upande mmoja kuhakikisha ushidi wa lazima kwa chama tawala wakidhani ndicho peke yake kinaweza kuwatimizia mahitaji yao. Kama hakuna Taasisi au NGO ya kufanya hivyo, basi hata JF ichukue jukumu hilo kabla uchaguzi haujafanyika.

  wana JF mnasemaje?
   
 2. BABU KIDUDE

  BABU KIDUDE JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2014
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,366
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  kabisa haswaa police ,Maana hamnazo kabisa wale
   
Loading...