Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Nahitaji ushauri Juu ya Ubora na Uzuri wa SAMSUNG galaxy ACE ,kwa aliyeitumia .
mimi natumia hiyo simu kwa zaidi ya mwaka galay ace 5830i ni nzuri iko quick katka kudownload na pia ni acute katka kulocate places using jps unaweza kuona sehemu yoyote duniani mpaka jengo lilivyo shida yake kubwa ni betri hapo ujiandae na hapa ndo natumia