Ushauri: RITA imekosa umakini, ivunjwe

Ushauri: RITA imekosa umakini, ivunjwe

Mkuu hapa naona umeingia chaka, kuna service gani tunazonufaika nazo, zaidi ya ile ya kula, kulala bure na kichapo juu! labda kwa miaka ila ya zamani, sidhani kwa sasa kama zipo
===
Ukijiongeza kidogo tu utanielewa. Kuna service hapaswi kupata mtu ambaye siye mtanzania. kuna nyadhifa za serikali ni exclusive kwa watanzania tu. So kuwa na cheti cha kuzaliwa kinakupa haki ya kufaidika... so simaanishi kwamba lazima upate
 
====
Rudia kusoma utaelewa cheti cha kuzaliwa kinalink vipi na nyaraka zingine...

Naona kuna kitu hujakifahamu bado, iko hivi kaka, unapozaliwa kwenye nchi ya ugeni unapewa cheti cha kuzaliwa na katika hicho cheti kuna sehemu imeandikwa Uraia wa Baba, uraia wa Mama, lakini cheti chako cha kuzaliwa sio HATI YA URAIA
mfano wewe baba yako ni Mtanzania, Mama yako ni Mzambia na wewe umezaliwa Malawi, hapo wewe mtoto utakuwa na haki ya kuchagua uraia wa nchi hipi kati ya hizo tatu once utakapofikisha MIAKA 18, so utakuwa na haki ya uraia wa Baba (tanzania), Mama(Zambia) na uraia wa kuzaliwa(Malawi), kwa kesi kama hiyo hauwezi kuwa raia wa Malawi moja kwa moja mpaka unakapo apa kuwa wewe ni raia wa Nchi ya Malawi,
NAONGEA KWA UZOEFU WA HAYO MAZINGIRA
 
Hayo unayosema ni sahihi pia. Practice ni kwamba vyeti vyetu pale RITA hawana udhibiti kuhakikisha kwamba anayejinadi kuwa mtanzania ni watanzania. Anybody anaweza kupata cheti kinachosema wazazi na yeye wote ni watanzania hatakama sio kweli.... Hoja hapa ni ufanisi wa RITA sio cheti chenyewe... soma heading
 
Kuna Raia wa nchi moja kutoka Asia huwa wanasema Tanzania hamna sheria,ukiwa na hela tu kila kitu mukide.
 
Maneno yako ana mashiko kiasi fulani,lakini lazima uelewe hali na mazingira yetu ya kiafrica si kila mtu amefanikiwa kuzaliwa hospital ,hata sasa hivi nina uhakika hatujafika 100% ya watu kuzaliwa hospital ili wote wapate vyeti. Kingine huo uchunguzi unaosema hebu fafanua kidogo ungeshauri wafanyeje kwa mfano ila wajue uraia wa muomba cheti kama ni mzawa au la? La mwisho huo uchunguzi wa kujua nani raia nani si raia utawakumba wote hata wale wenye vyeti na vithitibisho vya kutosha na hao ambao hawana,siku ukienda kumuombea mwanao usije kuandika hapa ukilalamika kwamba wamekuchelewesha ,sawa ndugu
 
Kimsingi Africa hasa Tanzania sasa imepiga hatua sana. Kila mahala panafikika na pia serikali imeenea hadi vijijini ambapo watendaji wa huko wanaweza kutumika ku-authenticate wale ambao huzaliwa nje ya mahospitali......
nadhani hoja yetu iko fasaha ambapo mwenye jukumu na mamlaka lazima wawe creative kuhakikisha ubora wa huduma husika
 
Kuna service hapaswi kupata mtu ambaye siye mtanzania

Ungetoa mfano, tulisikia kuna watu wa Comoro, na nchi zingine jirani wana cyeo hapa, je hivyo vyeti walipata wapi
 
Ungetoa mfano, tulisikia kuna watu wa Comoro, na nchi zingine jirani wana cyeo hapa, je hivyo vyeti walipata wapi
====
Mkuu nahisi kiswahili kinakuchanganya..... naomba urudie ujumbe wangu vizuri
 
Angalau kwa miaka hii 1990 kuja huku mbele wamejitahidi kuweka kumbukumbu sawa ila sio kurudi nyuma hakuna kitu kabisa walikuwa wanaweka book makubwa mengi yalipotea yote......baada kizazi cha zamani kuis labda wataenda vizuri......ila sasa ni kamkumbe kamkumbe!!!
Mimi nilizaliwa tarehe 15 mwezi wa 7 mwaka 1990.pale muhimbili.cha ajabu nilimtajia yule mzee jina langu Na la baba..
Nilipokwenda kuchukua cheti.nikakuta kuna jina mpaka la mama.nilishangaa.kumbe kulikuwa na rekodi zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalau kwa miaka hii 1990 kuja huku mbele wamejitahidi kuweka kumbukumbu sawa ila sio kurudi nyuma hakuna kitu kabisa walikuwa wanaweka book makubwa mengi yalipotea yote......baada kizazi cha zamani kuis labda wataenda vizuri......ila sasa ni kamkumbe kamkumbe!!!
Kweli bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawasalim wakuu,
Nimekuwa mara zote nikipata shida sana kuhusu utendaji kazi wa RITA. ni kwamba, kila anayepeleka hoja ya kupata cheti cha kuzaliwa hupata bila kufanyika utaratibu wa kutafiti kama kweli ni raia au la.
Madhara yake ni kwamba hatuwezi kuwa na hakika kwamba kila anayejinadi kuwa ni mtanzania ni kweli anahaki yakuwa mtanzania. Ukienda RITA leo ukaongea na jamaa unaweza kupata cheti hata kesho bila kupeleka evidence yoyote authentic. kismsingi cheti cha kuzaliwa ni record nyeti sana. Inakupa haki zote za tanzania kuanzia pasport na kitambulisho cha taifa. Pia kinakuruhusu kufaidika na kila service ya serikali ikiwemo kushika nyadhifa yoyote ile...

Kwakua ni jipu la mda mrefu, nashauri ifanyike reform katika hili. tuangalie jinsi bora ya kudhibiti upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa. Tuwabadili wasimamizi lakini pia kuwe na audit sio ya kifedha bali operation audit... ni bora NIDA waongezewe madaraka au waunganishwe na uhamiaji so dhat kusiwe na gaps zinazowezesha records zetu kutokuwa consistent....

Nawasilisha,

Nangu Mandokwa
Hata wakimbizi tumewapa vyeti vya kuzaliwa...kwasababu wamezaliwa Tanzania.ile certificate ya kuonyesha umezaliwa wapi lakini si cheti cha URAIA.
 
Hata wakimbizi tumewapa vyeti vya kuzaliwa...kwasababu wamezaliwa Tanzania.ile certificate ya kuonyesha umezaliwa wapi lakini si cheti cha URAIA.
===
Hoja ni uadilifu kama huelewi. Raia wa nje wanapaswa kupata cheti cha kuzaliwa lakini utaifa unabainishwa kwamba sio watanzania. kwakukosa uadilifu wengi wao hutambulika ni wabongo tu... ///hii ndio hoja na ndio maana nawalaumu RITA
 
Tatizo la RITA ni namna watumishi wao walivyoajiriwa.

Najua unachosema.
 
Nawasalim wakuu,

Nimekuwa mara zote nikipata shida sana kuhusu utendaji kazi wa RITA. ni kwamba, kila anayepeleka hoja ya kupata cheti cha kuzaliwa hupata bila kufanyika utaratibu wa kutafiti kama kweli ni raia au la.

Madhara yake ni kwamba hatuwezi kuwa na hakika kwamba kila anayejinadi kuwa ni mtanzania ni kweli anahaki yakuwa mtanzania.

Ukienda RITA leo ukaongea na jamaa unaweza kupata cheti hata kesho bila kupeleka evidence yoyote authentic. kismsingi cheti cha kuzaliwa ni record nyeti sana. Inakupa haki zote za tanzania kuanzia pasport na kitambulisho cha taifa. Pia kinakuruhusu kufaidika na kila service ya serikali ikiwemo kushika nyadhifa yoyote ile...

Kwakua ni jipu la mda mrefu, nashauri ifanyike reform katika hili. tuangalie jinsi bora ya kudhibiti upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa.

Tuwabadili wasimamizi lakini pia kuwe na audit sio ya kifedha bali operation audit... ni bora NIDA waongezewe madaraka au waunganishwe na uhamiaji so dhat kusiwe na gaps zinazowezesha records zetu kutokuwa consistent....

Nawasilisha,

Nangu Mandokwa
Imekuwa ikitumika kisiasa kwa maslahi ya ccm ivunjwe na viongozi wake wafutwe kazi .
 
Back
Top Bottom