Nawasalim wakuu,
Nimekuwa mara zote nikipata shida sana kuhusu utendaji kazi wa RITA. ni kwamba, kila anayepeleka hoja ya kupata cheti cha kuzaliwa hupata bila kufanyika utaratibu wa kutafiti kama kweli ni raia au la.
Madhara yake ni kwamba hatuwezi kuwa na hakika kwamba kila anayejinadi kuwa ni mtanzania ni kweli anahaki yakuwa mtanzania.
Ukienda RITA leo ukaongea na jamaa unaweza kupata cheti hata kesho bila kupeleka evidence yoyote authentic. kismsingi cheti cha kuzaliwa ni record nyeti sana. Inakupa haki zote za tanzania kuanzia pasport na kitambulisho cha taifa. Pia kinakuruhusu kufaidika na kila service ya serikali ikiwemo kushika nyadhifa yoyote ile...
Kwakua ni jipu la mda mrefu, nashauri ifanyike reform katika hili. tuangalie jinsi bora ya kudhibiti upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa.
Tuwabadili wasimamizi lakini pia kuwe na audit sio ya kifedha bali operation audit... ni bora NIDA waongezewe madaraka au waunganishwe na uhamiaji so dhat kusiwe na gaps zinazowezesha records zetu kutokuwa consistent....
Nawasilisha,
Nangu Mandokwa