USHAURI: Rais Samia Suluhu amteue Joseph Magufuli kuwa Mbunge na Waziri

Dahh kuna watu wana mawazo ya kipuudhi sana
Na tabia hii ya kufanya uongozi wa nchi hii kuwa wa kiimla na ikome ni upuudhi tu yaani kabisa unashauri mtu ateuliwe kwenye nafasi ya umma kama kumfuta machozi,
Mawazo ya kipuudhi sana
Mleta Uzi ni Mtu wa Kitengo NYETI na kaanzisha huu Uzi kwa Maelezo MAALUM na Wasaidizi wa Mheshimiwa Mama ili apime Upepo na watusikie tutasemaje kwani Mama anawashwawashwa kutaka Kumteua upesi kwakuwa anamuonea Huruma kwakuwa ni Mfiwa.

Amini haya Maneno yangu baada ya Kuona Mawazo ( Majibu ) yetu hapa ( tena yaliyojaa Hasira Kali ) pamoja na Usununu ( Kinyongo ) Mama hatompa Cheo cha kumfanya awe anasikika sana Masikioni mwetu ila atampa tu Ulaji ( Cheo ) kizuri ila cha Kimya Kimya tupu ili Kumlinda.
 
Tumeshinda naye sana pale jackies tunakunywa jd na konyogi,unamjua huyo unayetaka awe waziri lakini au umelewa shekh tukupe mda kidogo utafakari!?

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Kuna Muosha Magari Mmoja hapo ( kapewa Jina la Mchezaji Maarufu wa Yanga SC ) anasema Kijana japo ni Bonge hivi ila anapenda sana Kubinjuka halafu ana allergy na Kofia za Kibailojia za Wanaume tunazohimizwa 24/7 na WHO kuwa tuwe tunazivaa katika Vichwa vyetu vilivyotulia Mafichoni.
 
Mtoto wa Nyoka ni Nyoka ... wasusukima wanapenda sana kale ka mchezo

Kuna siku atawaambia yeye anafaa kuwa kwenye Bunge la Malaika mbinguni
 
Nikiri kuwa binafsi nilikuwa simfahamu Joseph Magufuli kwa undani hadi nilipomuona juzi akiongea kwenye kongamano la kidini kule Chamwino, Dodoma.

Kijana huyu jasiri alipokaribishwa kutoa shukrani za familia mbele ya Rais na viongozi wa dini, alionesha ukomavu mkubwa sana. Kwa wale mliofuatilia kongamano hili mtakubaliana nami kuwa hata mama Samia alionyesha kumkubali.

Bila kuwachosha na maneno mengi, naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Umekuwa ni utaratibu wa kawaida kiongozi anapofariki, hasa mbunge, mtoto wake huchukua usukani wa jimbo alilokuwa akiliongoza marehemu baba au mama yake. Mifano ipo mingi sina haja ya kuitaja.

Sasa kwa kuwa Rais Magufuli kipenzi cha wana wa Tanzania, Afrika na dunia nzima ametutoka ghafla pasipo kutarajia, namuomba sana Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu amteue ndugu Joseph John Pombe Magufuli kuwa mbunge na hata kama itampendeza amteue kuwa waziri katika wizara yoyote atakayoona inafaa.

Ninazo sababu zilizonipelekea kutuma ombi langu hili kwa mama Samia na nitazieleza kwa ufupi sana kama ifuatavyo:

Marehemu Rais John Pombe Joseph Magufuli alikuwa kipenzi cha watanzania wote na dunia nzima kwa ujumla. Kitendo cha kumteua Joseph Magufuli kuwa mbunge kitawafuta machozi watanzania, hasa pale watakapokuwa wakisikia jina la Magufuli likitajwa kupitia kwa mtoto wake.

Tukumbuke kuwa Magufuli alikuwa anapendwa na watanzania wote pasipo kujali tofauti zao za kidini, kisiasa, kikabila, kikanda na kijamii.

Hivyo basi, uwepo wa mtoto wa Magufuli ndani ya serikali utawafariji watanzania wote na watu wenye mapenzi na maendeleo ya taifa letu.

Kama ilivyo kawaida kwa watoto wa wabunge waliofariki kufutwa machozi kwa kupewa ubunge kwenye majimbo waliyokuwa wakiyaongoza wazazi wao, kitendo cha Joseph Magufuli kuteuliwa kuwa mbunge na waziri kitasaidia kuifuta machozi familia kwa kuwa nina imani mshahara atakaokuwa anaupata kutokana na uwaziri utasaidia sana kuboresha hali za kiuchumi za wanafamilia.

Ingekuwa baba yake alikuwa mbunge ingekuwa rahisi sana kuteuliwa kugombea ubunge na kukalia kiti cha jimbo la baba yake.

Lakini kwa kuwa baba alikuwa Rais, na kwa mujibu sheria anayepaswa kukalia kiti hicho ni makamu wa Rais, hatuwezi kusema labda mama Samia ampishe akalie usukani kwa kuwa tukifanya hivyo tutakuwa tunavunja katiba ya nchi. Hivyo, njia pekee ya Joseph Magufuli kupenya kwenye siasa ni kupitia ubunge na uwaziri wa kuteuliwa.

Joseph Magufuli ni kijana msomi na mwenye uwezo wa kuongoza wizara yoyote ijapokuwa hajawahi kuingia kwenye siasa. Hivyo, nina imani kuwa anaweza kuwa waziri mzuri kama alivyokuwa baba yake.

Na ningependekeza mama Samia amteue kuwa waziri wa ujenzi ili kumuenzi marehemu baba yake aliyewahi kuongoza wizara hiyo kwa ufanisi mkubwa.

Ikiwa watoto wa wabunge waliowahi kuziba nafasi za baba/mama zao huko nyuma hawakushindwa, iweje Joseph yeye ashindwe?

Kwa sababu hizi nilizozitaja hapo juu, namuomba sana mama yetu na Rais wetu mpendwa H.E Samia Suluhu Hassan amteue Joseph Magufuli kuwa mbunge na kama itampendeza amteue kuwa waziri wa ujenzi.

Nawasilisha.

Hivi bado mambo ya kurithishana yapo ?
 
Mkuu unatuchokoza tupiromoshe mananiiii tupigwe ban....pum..mkubwa wewe,Bangladesh,!Islamabad, !
 
Mmeshaanza tena Unafiki na Upuuzi wenu kama kawaida. Mbona hujasema na Watoto wa Hayati Rais Mstaafu Mkapa ( achilia mbali wa Nyerere, Mwinyi na Kikwete ) nao Wateuliwe?

Tena Mimi sishauri kabisa Rais Samia amteue huyu Mtoto wa Hayati Rais Dkt. Magufuli aitwae Joseph bali amuongezee tu Ulinxi kwakuwa huenda Watanzania waliokwazwa na Baba wakaamua kupita nae mazima ili Kuhitimisha Hasira zao ( Machungu yao ) Kwake.
Aiseee !!
 
Natumaini hatakuwa na roho kama ya Jiwe.Bora awe amechukua roho ya Janeth mamake.Kila la heri Yusufu!
Ni ukweli siyo Sadist kama Mshua wake ( kwa hili namtetea ) ila kwa Kupenda Mvinyo na Kubinjuka nampa Tuzo.

Mshua alikuwa Mbinjukaji mzuri ila Mwanae huyu Karithi vibaya Ubinjukaji halafu hapendi Kuvalia Kofia za Kibailojia za WHO.

Sifa yake Kubwa hana Dharau na Nyodo.
 
Nikiri kuwa binafsi nilikuwa simfahamu Joseph Magufuli kwa undani hadi nilipomuona juzi akiongea kwenye kongamano la kidini kule Chamwino, Dodoma.

Kijana huyu jasiri alipokaribishwa kutoa shukrani za familia mbele ya Rais na viongozi wa dini, alionesha ukomavu mkubwa sana. Kwa wale mliofuatilia kongamano hili mtakubaliana nami kuwa hata mama Samia alionyesha kumkubali.

Bila kuwachosha na maneno mengi, naomba niingie kwenye hoja moja kwa moja. Umekuwa ni utaratibu wa kawaida kiongozi anapofariki, hasa mbunge, mtoto wake huchukua usukani wa jimbo alilokuwa akiliongoza marehemu baba au mama yake. Mifano ipo mingi sina haja ya kuitaja.

Sasa kwa kuwa Rais Magufuli kipenzi cha wana wa Tanzania, Afrika na dunia nzima ametutoka ghafla pasipo kutarajia, namuomba sana Rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu amteue ndugu Joseph John Pombe Magufuli kuwa mbunge na hata kama itampendeza amteue kuwa waziri katika wizara yoyote atakayoona inafaa.

Ninazo sababu zilizonipelekea kutuma ombi langu hili kwa mama Samia na nitazieleza kwa ufupi sana kama ifuatavyo:

Marehemu Rais John Pombe Joseph Magufuli alikuwa kipenzi cha watanzania wote na dunia nzima kwa ujumla. Kitendo cha kumteua Joseph Magufuli kuwa mbunge kitawafuta machozi watanzania, hasa pale watakapokuwa wakisikia jina la Magufuli likitajwa kupitia kwa mtoto wake.

Tukumbuke kuwa Magufuli alikuwa anapendwa na watanzania wote pasipo kujali tofauti zao za kidini, kisiasa, kikabila, kikanda na kijamii.

Hivyo basi, uwepo wa mtoto wa Magufuli ndani ya serikali utawafariji watanzania wote na watu wenye mapenzi na maendeleo ya taifa letu.

Kama ilivyo kawaida kwa watoto wa wabunge waliofariki kufutwa machozi kwa kupewa ubunge kwenye majimbo waliyokuwa wakiyaongoza wazazi wao, kitendo cha Joseph Magufuli kuteuliwa kuwa mbunge na waziri kitasaidia kuifuta machozi familia kwa kuwa nina imani mshahara atakaokuwa anaupata kutokana na uwaziri utasaidia sana kuboresha hali za kiuchumi za wanafamilia.

Ingekuwa baba yake alikuwa mbunge ingekuwa rahisi sana kuteuliwa kugombea ubunge na kukalia kiti cha jimbo la baba yake.

Lakini kwa kuwa baba alikuwa Rais, na kwa mujibu sheria anayepaswa kukalia kiti hicho ni makamu wa Rais, hatuwezi kusema labda mama Samia ampishe akalie usukani kwa kuwa tukifanya hivyo tutakuwa tunavunja katiba ya nchi. Hivyo, njia pekee ya Joseph Magufuli kupenya kwenye siasa ni kupitia ubunge na uwaziri wa kuteuliwa.

Joseph Magufuli ni kijana msomi na mwenye uwezo wa kuongoza wizara yoyote ijapokuwa hajawahi kuingia kwenye siasa. Hivyo, nina imani kuwa anaweza kuwa waziri mzuri kama alivyokuwa baba yake.

Na ningependekeza mama Samia amteue kuwa waziri wa ujenzi ili kumuenzi marehemu baba yake aliyewahi kuongoza wizara hiyo kwa ufanisi mkubwa.

Ikiwa watoto wa wabunge waliowahi kuziba nafasi za baba/mama zao huko nyuma hawakushindwa, iweje Joseph yeye ashindwe?

Kwa sababu hizi nilizozitaja hapo juu, namuomba sana mama yetu na Rais wetu mpendwa H.E Samia Suluhu Hassan amteue Joseph Magufuli kuwa mbunge na kama itampendeza amteue kuwa waziri wa ujenzi.

Nawasilisha.
Jamii forums imevamiwa na matakataka sana aisee yaani huyu taahira anasema magufuli ni kipenzi cha dunia nzima kweli??
 
Back
Top Bottom