Mkuu with all my respect kwako,nchi inahitaji kuwa na serikali ndogo sio uchafu huu tuliokua nao,wizara 10 to 15 zinatosha sana na after all watanzania wanahitaji service delivery,nikiwa President kwa 24hrs kufikia 1400 hrs nchi itabakiwa na wizara 12tu na wabunge 150tu.,Mikoa 20tu na wilaya 150 tu,RCs na DCs wote watapumzishwa.