Mama Hana shida ...yupo mpaka 2030 utake usitake!Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza.
Kwanza niseme wazi Mama ni moja ya Marais bora kabisa kuwai kutokea katika taifa letu. Sijawai kusikia kashifa yeyote ya wizi na ufisadi kutoka kwake, ni Rais mwadilifu kweli kweli.
Ila shida yake ipo kwenye kuchukua hatua juu ya watu wanaomzunguka na kufanya mambo ya hovyo katika utawala wake.
Naunga mkono michakato yote ya kodi inayoanzishwa kufanyika Ila shida ipo kwenye matumizi yake ni jinsi gani tunaitumia hiyo pesa inayopatikana kwenye kodi, mfano serikali kwa ujinga imetumia bilioni 629 kwenye zoezi la sensa pekee huu ni ufisadi.
Zoezi lenyewe watu wengi bado hawajahesabiwa mpaka sasa. Leo ni siku ya 6 ndani ya zile siku saba zilizopangwa maana yake kesho ni siku ya mwisho. Zoezi limegubikwa na wizi na ufisadi wakati zoezi lingewatumia mabalozi wa nyumba kumi tu na mwenyekiti wa kijiji lingekuwa limeshakamilika kwa 100%.
wangetumia karatasi za kawaida kujaza taarifa za watu, then kwenye kata ndio wangeweka mfumo wa TEHAMA wa kuingiza zile taarifa kwa kutumia tablet tungefanikiwa kwa 100%
Kukwama kwa zoezi la katiba na tume huru ya uchaguzi kabla ya 2025, ili nalo ni donda ndugu. Watu wanakushauri kwamba utashindwa uchaguzi 2025 ukileta sasa Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Wanakudanganya ungeweka mazingira sawa ya uchaguzi na katiba lazima watu wangukupigia kura 2025 ili kulipa mema uliyowafanyia hata kama wasingekuchagua mema yako yangeandikwa duniani na mbinguni.
Swala ya mfumuko wa bei ndio bomu kuu, watu hawakatai kwamba vitu vinapanda duniani lakini watu wanachokataa ni kwanini vitu muhimu ndio vipande tu kwani vitu vingine ambavyo havipandi vitu havisafirishwi?
Mfano unakuta kiberiti kinauzwa shilingi 100 Tanzania nzima hakipandi bei zaidi ya miaka 10, wakati na chenyewe kinatumia mafuta kuzalishwa. Ila Ngano, mafuta ya kula na sembe inapanda kila muda kila mwaka.
Utasikia usafirishaji, kwanini mafuta ya alizeti yanayozalishwa Rukwa na Singida hapo hapo kiwandani ukiyafuata yana bei ile ile kama unayoinunua Dar es salaam?
Mh. Rais hapa tukubaliane kwamba umeshindwa ku control inflation kwa sasa, mwezi umepita mafuta yanashuka kila siku kwenye soko la dunia kwanini sisi mafuta yanazidi kupanda tu?
Kwanini uwashughulikii wafanyabiashara Ili waache ulafi wa kutaka faida kubwa?
Tofauti yetu na Zanzibar iko wapi, kwanini Zanzibar kila kitu kinachoingizwa kwenye visiwa hivyo bei zake zipo chini, hata bei zao za mafuta zipo chini kuliko sisi au ndio kusema Zanzibar ni taifa tofauti na sisi?
Basi Kama hivyo Rais Mwinyi ana uwezo wa kupambana na mfumuko wa bei vile, bora tumchukue aje atusaidie huku bara baada ya 2025.
Mambo ni mengi, Ila naomba nikushauri kama unahitaji heshima ya milele basi pumzika 2025 aje mtu mwingine afanye kazi ya Urais. Inawezekana watu wanakushauri vibaya kwa sababu haukuchaguliwa na wananchi ili kukuchonganisha kwa watanzania.
Tozzo zinakwenda kumtoa knock outMama Hana shida ...yupo mpaka 2030 utake usitake!
Shetani mwenye jicho na mguu mmojaBaada ya mama CCM watatuletea jitu gani tena lingine!
Hayupo wa kumtoa Samia 2025...trust me!!Tozzo zinakwenda kumtoa knock out
Kama magu aluvyokua anawakumbatia kina makonda, na wenzao waleeee...Kuchukua hatua juu ya watu anaowaongoza anaweza, ndio maana aliwaondoa kina Kabudi na Lukuvi.
Tatizo lake kuwachukulia hatua wale vipenzi vyake wa karibu aliowateua yeye ndio anakuwa mgumu kuwachukulia hatua.
Matokeo yake jamaa sasa wanajiamini wanajua hayupo wa kuwafanya chochote kwani ulinzi wanao.
Hii hali ikiendelea, ndio mbele ya safari itaenda kuzalisha mafisadi wa utawala wake, hao "untouchables" wataanza kufanya ujanja na baadhi yao naona wameshaanza.
Hao mafisadi wapya ndio watakuja kuchafua taswira yake siku itakapofika akaondoka madarakani hataacha legacy yoyote, kwa namna alivyoonesha kiu ya kuutaka Urais 2025 sidhani kama ataondoka kabla ya 2030.
Goli halina mwenyewe wapinzani waamue tu kufunga au kubutuaHayupo wa kumtoa Samia 2025...trust me!!
Bado sanaa, adi 2030...Mama hana ujasiri wa kuchukua hatua kwa wezi na wazembe, tunamshukuru kwa miaka yake aliyotufusha 2025 apumzike tu
Hoja yako imefeli kuonyesha hujui sababu ya znz vitu bei rahisi kuliko bara, hujui mambo ya nchi yaendavyo unafata mkumbo tu,Kwa mtazamo wangu binafsi napendekeza Rais wetu Mama Samia apumzike mwaka 2025 kama analo wazo la kuendelea kutuongoza.
Kwanza niseme wazi Mama ni moja ya Marais bora kabisa kuwai kutokea katika taifa letu. Sijawai kusikia kashifa yeyote ya wizi na ufisadi kutoka kwake, ni Rais mwadilifu kweli kweli.
Ila shida yake ipo kwenye kuchukua hatua juu ya watu wanaomzunguka na kufanya mambo ya hovyo katika utawala wake.
Naunga mkono michakato yote ya kodi inayoanzishwa kufanyika Ila shida ipo kwenye matumizi yake ni jinsi gani tunaitumia hiyo pesa inayopatikana kwenye kodi, mfano serikali kwa ujinga imetumia bilioni 629 kwenye zoezi la sensa pekee huu ni ufisadi.
Zoezi lenyewe watu wengi bado hawajahesabiwa mpaka sasa. Leo ni siku ya 6 ndani ya zile siku saba zilizopangwa maana yake kesho ni siku ya mwisho. Zoezi limegubikwa na wizi na ufisadi wakati zoezi lingewatumia mabalozi wa nyumba kumi tu na mwenyekiti wa kijiji lingekuwa limeshakamilika kwa 100%.
wangetumia karatasi za kawaida kujaza taarifa za watu, then kwenye kata ndio wangeweka mfumo wa TEHAMA wa kuingiza zile taarifa kwa kutumia tablet tungefanikiwa kwa 100%
Kukwama kwa zoezi la katiba na tume huru ya uchaguzi kabla ya 2025, ili nalo ni donda ndugu. Watu wanakushauri kwamba utashindwa uchaguzi 2025 ukileta sasa Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Wanakudanganya ungeweka mazingira sawa ya uchaguzi na katiba lazima watu wangukupigia kura 2025 ili kulipa mema uliyowafanyia hata kama wasingekuchagua mema yako yangeandikwa duniani na mbinguni.
Swala ya mfumuko wa bei ndio bomu kuu, watu hawakatai kwamba vitu vinapanda duniani lakini watu wanachokataa ni kwanini vitu muhimu ndio vipande tu kwani vitu vingine ambavyo havipandi vitu havisafirishwi?
Mfano unakuta kiberiti kinauzwa shilingi 100 Tanzania nzima hakipandi bei zaidi ya miaka 10, wakati na chenyewe kinatumia mafuta kuzalishwa. Ila Ngano, mafuta ya kula na sembe inapanda kila muda kila mwaka.
Utasikia usafirishaji, kwanini mafuta ya alizeti yanayozalishwa Rukwa na Singida hapo hapo kiwandani ukiyafuata yana bei ile ile kama unayoinunua Dar es salaam?
Mh. Rais hapa tukubaliane kwamba umeshindwa ku control inflation kwa sasa, mwezi umepita mafuta yanashuka kila siku kwenye soko la dunia kwanini sisi mafuta yanazidi kupanda tu?
Kwanini uwashughulikii wafanyabiashara Ili waache ulafi wa kutaka faida kubwa?
Tofauti yetu na Zanzibar iko wapi, kwanini Zanzibar kila kitu kinachoingizwa kwenye visiwa hivyo bei zake zipo chini, hata bei zao za mafuta zipo chini kuliko sisi au ndio kusema Zanzibar ni taifa tofauti na sisi?
Basi Kama hivyo Rais Mwinyi ana uwezo wa kupambana na mfumuko wa bei vile, bora tumchukue aje atusaidie huku bara baada ya 2025.
Mambo ni mengi, Ila naomba nikushauri kama unahitaji heshima ya milele basi pumzika 2025 aje mtu mwingine afanye kazi ya Urais. Inawezekana watu wanakushauri vibaya kwa sababu haukuchaguliwa na wananchi ili kukuchonganisha kwa watanzania.
Yatashuka kwa senti ndogo sana kulinganisha na yalivyopandaSheria zinawabana sana wanaokosoa matendo ya serikali kama aliyetumbuliwa juzi tu kisa kuongelea tozo, na kiongoz aliyetamka nchi itapigwa mnada. Ila kwa wezi sheria nchi inasheria ambazo ni ngumu kuzifuata.
NB: Mwezi agosti tuliambiwa kwenye soko la dunia mafuta yalishuka bei na sisi kuambiwa yatashuka mwezi wa 9 maana ya agosti yaliagizwa kipindi bei iko juu. Tunasubiria kuona hiyo septemba
Huo mtaa unaishi wewe itakua ni kuzimu.Nasema kwa kuwa ninaishi na kukutana na watanzania wengi tu huku mtaani kwangu ambako watu wanaimani kubwa Sana na mh Rais wetu na wanaridhishwa na utendaji kazi wake ulio tukuka na wenye kugusa maisha ya watu hasa wanyonge
pendekeza Wewe kiongozi yupi unataka achukue nchi tofauti na CCM?Hakika mawazo kama haya yatazidi kuididimiza Tanzania. Mtu umeshakariri kabisa kuwa kuwa CCM ndiyo wana haki ya kukuletea mtu. Ama! Kwa nini usipiganie haki ya kuchagua kiongozi anayefaa na unakubali kuletewa ''jitu''?
Ukisema utawala wa kijinga unamhusisha Rais wetu mama, Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Hawa wote ndio walikuwa watawala wetu awamu ya tano..kwahiyo nakukanya ku generalize Mambo..ukome...kama umechoka kuishi Basi Hana nenda nchi nyingine..hatuwez ona mnatukana viongozi wetu tunanyamaza tu..narudia ukome..kama msumeno wa Sheria haujakufikiaUle utawala wa kijinga ulishakuingia damuni. Siku hizi unaishi kwa amani halafu moyo wako unataka kurudi awamu ya tano. Binadamu mna shida sana.
Mmeshachoka amani Sasa mnataka kuijaribu Vita jomba....una laana ya mkweo weweApa dawa tukung'utane wenyewe kwa wenyewe italeta funzo kwa Kila mtawala atakae kuja kuheshimu anaowatawala ataiyo Katiba watu wanayoisema aitakua na mana kwakua asilimia kubwa watu wametawaliwa na mapenzi ya vyama kuliko maslahi mapana ya nchi