Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,431
- 25,453
Watanzania Tupo Tayari kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, Sasa wewe Kama hutaki kutoa Kodi na Tozo unataka Nani akujengee nchi yako, unataka Nani akupe ili wewe utumie huduma utakavyo wewe, unataka watoto wako wakapate wapi huduma ikiwa wewe Kama mzazi hutaki kubeba mzigo utakao leta matunda kwa wanaoUtakuwa wewe ndo ulipeleka takwimu za kusema watu 7 kati ya 10 wanakubaliana na tozo. Basi jamii nilizopo ztakuwa na tatizo maana ziko kinyume sana na kauli yako. Tena wengine wanadai kuwa, km kwa magu tulisema vyuma vimekaza sijui sa hivi tutumie kauli gani inayoizidi ile.
Asali ndio hizi huduma ambazo tumesogezewa karibu yetu na mh Rais wetu mpendwa, juhudi za mh Rais wetu katika kutuinua kiuchumi Ni kubwa Sana na tunapaswa kumuunga mkono Rais wetu, hatupaswi kumkatisha tamaa Bali kumpa faraja maana amejitolea kututumikia watanzania kwa nguvu zake zoteMaisha magumu isipokuwa kwa walamba asali kama wewe

Hizi hadithi mlianza kuongea toka Machi mwaka 2021..Atakuwa too late. 2023 hyo hapo, wananchi michosho sana siku hz, usilolijua ni sawa na usku wa giza. Kila ovu lina mwisho wake, rafu zilizofanikiwa zote usidhani kila mwaka wa uchaguzi ztafanikiwa. Yajayo yatahuzunisha
Mfumo ndio hujenga watu, au watu ndio hujenga mfumo? Kipi ni zao la kipi?
Atakuwa too late. 2023 hyo hapo, wananchi michosho sana siku hz, usilolijua ni sawa na usku wa giza. Kila ovu lina mwisho wake, rafu zilizofanikiwa zote usidhani kila mwaka wa uchaguzi ztafanikiwa. Yajayo yatahuzunisha
Sababu ni zilezile za mwendazake. Tuliibiwa sana, tunatumia fedha zetu za ndani n.k ukiletewa zahanati kijijini kwako unaona tozo zinafanya kazi ila hujui za madini, gesi, utalii zinafanya nini. Endelea kudanganyika kwa kukamliwa wakitumia mwamvuli wa maendeleo huku wao wakiwaza kujiongezea posho n.kWatanzania Tupo Tayari kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, Sasa wewe Kama hutaki kutoa Kodi na Tozo unataka Nani akujengee nchi yako, unataka Nani akupe ili wewe utumie huduma utakavyo wewe, unataka watoto wako wakapate wapi huduma ikiwa wewe Kama mzazi hutaki kubeba mzigo utakao leta matunda kwa wanao
Unazani hao wa ulaya waliyapokea maendeleo Kama kuangua tunda mtini, lazima tuwajibike kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, mh Rais wetu ameongoza njia hiyo hatuna budi kumpongeza na kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, tutakuwa tegemezi mpaka lini,tutarishwa mpaka lini, tutahudumiwa mpaka lini, chini ya mama yetu tunataka tuijenge Tanzania Yetu kwa mikono yetu wenyewe
Asali ndio hizi huduma ambazo tumesogezewa karibu yetu na mh Rais wetu mpendwa, juhudi za mh Rais wetu katika kutuinua kiuchumi Ni kubwa Sana na tunapaswa kumuunga mkono Rais wetu, hatupaswi kumkatisha tamaa Bali kumpa faraja maana amejitolea kututumikia watanzania kwa nguvu zake zote
Itasaidia kiasi fulani lakini sio sana. Jamii yenye wahuni na wasanii wengi hata itokee malaika ashuke na katiba toka mbinguni, haisaidii sana.
Kinachiweza kusaidia sana (pamoja au bila katiba mpya) ni jamii kuamua kustaarabika. Ustaarabu hujenga imani, imani huleta kuaminiana, kuaminiana huleta maendeleo ya kweli.
Wewe ukifungua tu MPesa, ukaweka mtu, uwezekano wa huyo mtu kukuibia na kutoroka in most cases ni zaidi ya 80℅ sasa hapo Rais au katiba vifanyeje kwa mfano? Au watu wataendelea kukosa ajira tu!
Kapumzike ww shida ni zako ww unazani kuna serikali itakayo kuletea chakula nyumbani kwa ko twende na sami hadi 203aki
Hujaelewa ila ni vile umeamua tu kujibuKapumzike ww shida ni zako ww unazani kuna serikali itakayo kuletea chakula nyumbani kwa ko twende na sami hadi 2030
Hili la katiba ndugu yangu siyo suala la kuvuta miguu. Infact kama ni rais mzuri kama unavyodai, basi malalamiko mengi yalipo sasa juu yake ni kwa sababu ya mfumo wetu tulionao wa kumtegemea kufanya kila kitu. Ni vigumu sana kuacha kumgusa rais hata kwa mambo ambayo hajakupaswa kwa sababu ya katiba. Mimi nilidhani ni busara zaidi kama angekuwa ameshanzisha michakato ya kufumua mfumo ili tukifika 2025 tuingie kwenye zama mpya. Hili la ngoja ngoja ndilo linazidi kumharibia na kuharibu nchi.Uko sahihi kabisa mkuu.
Sasa tayari tuna Rais Mzuri (kwa kuanzia), suala la katiba liko kwenye pipeline (rejea hotuba yake na taarifa ya CCM miezi michache iliyopita) na sasa ndio maana tunasema pamoja na hayo tufanye initiatives mbalimbali kubadili mitizamo ya kijamii ambayo nayo ni tatizo kubwa.
Sasa mleta kama yeye anataka Rais aondoke tena, wakati tushakubaliana ndio hatua ya kwanza ya kuanzia.
Kila sent inayopatikana chini ya uongozi wa mh Rais wetu mpendwa ipo katika mikono salama, Na inakwenda kufanya kazi za kimaendeleo zinazogusa maisha ya watanzania na kupunguza kero kwa mwananchi mnyongeSababu ni zilezile za mwendazake. Tuliibiwa sana, tunatumia fedha zetu za ndani n.k ukiletewa zahanati kijijini kwako unaona tozo zinafanya kazi ila hujui za madini, gesi, utalii zinafanya nini. Endelea kudanganyika kwa kukamliwa wakitumia mwamvuli wa maendeleo huku wao wakiwaza kujiongezea posho n.k
Huyo huyo kwa kuwa watanzania wameona ameomewa basi amepunguza idadi ya kura kwa waliomtolea mfanoHizi hadithi mlianza kuongea toka Machi mwaka 2021..
Saizi mumesogeza mbele hadi lini niweke Kumbukumbu sawa?
Kama nyie ni wanaume fanyeni mikutano ya Hadhara tuwaone..
Tumetoa mfano mdogo kwa yule aliyejifanya kupinga tozo, serikali ikitoa msimamo wiki ijayo tutaanza kunyooka na wote.
Kutegemea kodi na tozo kwa kukamua wananchi masikini ambao awazalishi huoni hapo shida ni uongozi kukosa ubunifu.Mbona mkoloni hakutegemea kodi wala tozo kuendeshea nchi na alituletea maendeleo makubwa Sana nchini.Watanzania Tupo Tayari kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, Sasa wewe Kama hutaki kutoa Kodi na Tozo unataka Nani akujengee nchi yako, unataka Nani akupe ili wewe utumie huduma utakavyo wewe, unataka watoto wako wakapate wapi huduma ikiwa wewe Kama mzazi hutaki kubeba mzigo utakao leta matunda kwa wanao
Unazani hao wa ulaya waliyapokea maendeleo Kama kuangua tunda mtini, lazima tuwajibike kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe, mh Rais wetu ameongoza njia hiyo hatuna budi kumpongeza na kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, tutakuwa tegemezi mpaka lini,tutarishwa mpaka lini, tutahudumiwa mpaka lini, chini ya mama yetu tunataka tuijenge Tanzania Yetu kwa mikono yetu wenyewe
Asali ndio hizi huduma ambazo tumesogezewa karibu yetu na mh Rais wetu mpendwa, juhudi za mh Rais wetu katika kutuinua kiuchumi Ni kubwa Sana na tunapaswa kumuunga mkono Rais wetu, hatupaswi kumkatisha tamaa Bali kumpa faraja maana amejitolea kututumikia watanzania kwa nguvu zake zote
Nadhani tusingekuwa na viongozi wanaosimama na kujibu. Kijana ambaye hajapata mkopo labda ni raia wa kenya ama asiyetaka tozo ahamie burundi. OVYO kabisa, tunahangaika na vijana wanaoona bora wasifie tu ilimradi waonekane wapate teuzi kuendeleza mfumo wa kijinga.
Mnyonge atoke wapi Tanzania hii wakati ndo walipa tozo? Mikono salama kwa bilioni 600+ za sensa ya mwezi mmoja tu huku bajeti za wizara fulani hazifiki hata nusu yake kwa mwaka mzima.Kila sent inayopatikana chini ya uongozi wa mh Rais wetu mpendwa ipo katika mikono salama, Na inakwenda kufanya kazi za kimaendeleo zinazogusa maisha ya watanzania na kupunguza kero kwa mwananchi mnyonge
Sisi tunaona anafanya vizuri mh Rais wetu maana tunapata huduma bila usumbufu na tunaona namna anavyoongoza nchi kwa kufuata misingi ya kisheria na utawala Bora , Kama unamaoni yako kuhusu katiba nenda Katoe kwenye kikosi kazi huko utasikiliza,Hili la katiba ndugu yangu siyo suala la kuvuta miguu. Infact kama ni rais mzuri kama unavyodai, basi malalamiko mengi yalipo sasa juu yake ni kwa sababu ya mfumo wetu tulionao wa kumtegemea kufanya kila kitu. Ni vigumu sana kuacha kumgusa rais hata kwa mambo ambayo hajakupaswa kwa sababu ya katiba. Mimi nilidhani ni busara zaidi kama angekuwa ameshanzisha michakato ya kufumua mfumo ili tukifika 2025 tuingie kwenye zama mpya. Hili la ngoja ngoja ndilo linazidi kumharibia na kuharibu nchi.
Kila sent inayopatikana chini ya uongozi wa mh Rais wetu mpendwa ipo katika mikono salama, Na inakwenda kufanya kazi za kimaendeleo zinazogusa maisha ya watanzania na kupunguza kero kwa mwananchi mnyonge
Duh..!!Kazi ya kiongozi mkubwa kama Rais sio kuchukua hatua kwa mtu mmoja mmoja ispokuwa kwa wateule wake tu wa moja kwa moja. Kazi ya Rais ni kutoa miongozo, maelekezo na muelekeo wa taifa kwenye mambo makubwa makubwa.
Then kuna mifumo ya kitaasisi ambayo inatakiwa ifanikishe masuala ya kiutendaji kama hayo ya kuchukuliana hatua na.k.
Kwa bahati mbaya kwenye jamii yetu tuna watu wachache wa maana na wengi wa ovyo. Hivyo kutoka kwenye sample hiyo, ndio tunapata wawakilishi wa maeneo mbalimbali. Na tunachoona ni matokeo ya kuwa na jamii ya aina hiyo. Hivyo pamoja na kuwa na kiongozi mzuri, mabadiliko ya kijamii yanayolenga kila mtu kuwa na utamaduni wa kutekeleza wajibu wake ni muhimu kuliko kitu kingine chochote.
Kuna sehemu ndani ya ubongo wako haiko sawa sio bure.Kapumzike ww shida ni zako ww unazani kuna serikali itakayo kuletea chakula nyumbani kwa ko twende na sami hadi 2030