Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Leo asbh nashangaa jamaa ananipigia simu Yuko getini kwangu anashida, ananiomba Mara Moja. Nmeamka natoka nje kumskiliza namkuta jamaa kabeba Watoto wake wawili mapacha anasema yule mwalimu kamtelekezea hawa Watoto mlangoni kwake alfajiri anadai maisha ni magumu Sana, hawezi Tena kuendelea kulea hawa Watoto peke Yake.

Nikamuulza jamaa kwani ile pesa waliyokua wakukakata kazini na kumuingiza binti kwny account yake ilisitishwa? Akamjibu "hapana bado nakatwa, anaingiziwa binti". Wote tukabaki na mshangao inakuaje binti anafanya kitendo kama hiki.

Hatua nilizochukua,
Nikamshaur jamaa Kwanza Hawa Watoto wake wabaki apa kwangu, MKE wangu atawaangalia. Kisha mimi nikalitolee ripoti uongozi wa mtaa au polisi na yeye akalitolee taarifa kwa maboss wake uko kazini kwake.

Upande wangu nmeshatekeleza suala la taarifa, mwanamke kapigiwa sana na simu yake haipatkani mpk Sasa, na kazini kwake tumetafuta hayupo, simu tumepiga mpk tumechoka.

Maswali nilobaki nayo kichwani zaidi Ni utimamu wa akili za huyu mwanamke.

Kwa maana alililia matunzo ya Watoto anayopewa hayatoshi mpaka akapigania mwanaume amekatwa posho yake kule kazini kwake 150,000 KILA mwezi kwa lazima ili kugharamia matunzo ya watoto na yeye akalifurahia sana Hilo, Tena kwa ngebe kabisa.

Imekuaje sahivi analeta pigo za kutupiana Watoto wachanga vibarazani, Tena alfajiri kabisa na mvua hizi zinazonyesha za masika.

WAKUU KAMA KUNA LA KUSHAURI, nawakaribisheni NI RUKSA,

ILA MPAKA JIONI HII NMERUD NYUMBANI KWANGU NMEKUTA WATOTO WA JAMAA WAKO SALAMA SALMINI MIKONONI MWA MKE WANGU MAMA G

Nawasilisha
Uwe unaleta nyuzi kama hizi za kujifunza, na siyo za umalaya na mama J, sasa wa kwanza kukosea ni mwanaume, kwanini uzae nje ya ndoa, ndomaana Mungu kakataza kwasababu ya changamoto kama hizi.
 
Apeleke watoto KWA wazazi wake kama wazazi wanaeleweka, awawekee mdada wa kaz I awahudumie ,avunje aina zote za mawasiliano, aende ustawi aeleze apewe haki ya malezi,
Maana wanawake ni wachawi sana,usikute anapima upepo aongezewe hela
 
Apeleke watoto KWA wazazi wake kama wazazi wanaeleweka, awawekee mdada wa kaz I awahudumie ,avunje aina zote za mawasiliano, aende ustawi aeleze apewe haki ya malezi,
Maana wanawake ni wachawi sana,usikute anapima upepo aongezewe hela
Na Mimi nahisi hivo, anatengeneza mazingira aongewe pesa za matumizi
 
Mshikaji ana mzazi/mlezi wa kike aliye hai na mwenye nguvu ya kumsaidia kulea watoto mpaka wafikie umri wa kuanza shule? Kama ndiyo, awaombe wamsaidie. Atoe taarifa kazini na ustawi wa jamii wasitishe makato, then aachane na huyo malaya.


Mshikaji = Malaya

Binti/Madam = Malaya


Watoto = matokeo ya umalaya wa hao wawili.


Mchuma janga hula na wakwao. Apeleke watoto kwao.
 
Back
Top Bottom