nilikuwa na mpenz wangu tulipenda sana.mwanzo aliniambia alikuwa na mpenz wake.waliachana coz ya tabia za ule dada.hata mama ake mzaz hakumkubali.marafiki zake pia hawakupenda.kuna cku uyo dada alienda nyumban kwa mpenzi wang alimkuta anaoga akachukua namba yangu na kuniomba niachane na mwanaume wake nikakubali.nilipomweleza mwanaume akampigia cm akamgombeza na kumwambia ache kunisumbua.tukaendelea na mapenz yetu.huu ni mwez wa tatu sasa amebadilika hapokei c
m zangu anajibu sms zang kwa ufupi.nikimuliza anasema kazi nyingi.nikawauliza marafiki zake kama amerudiana na mwanamke wake wanasemaa hawajarudiana.mwanaume anasema nisipanic mambo yake yakika sawa atakuwa sawa.wiki tatu za nyuma nikaamua kukaa kimya.sasa kuanzia juzi ananitumia sms za kunisalimia.nisaidieni kumwelewa mi nimeshindwa.