Hello wanajf,mimi nina bachelor ya public relations,nimetafuta kazi nahisi kuchoka cjapata,nawaza nipursue masterz labda itanisaidia kupata kazi kwa urahisi,but sitaki kuchukua pr tena nataka nichukue finance or marketing!naomba mnishauri kama hizi course kwa pamoja zitasaidia kupata kazi kwa wigo mpana au they dont match!thanks