In marital problems, always seek expert advice. You would not go to a carpenter to pull a tooth; neither should you discuss your marriage problems with relatives or friends. If you need counsel, go to a trained person. You may find the following helpful if you go through them with patience:
The best time to prevent divorce is before marriage
Marriage does not guarantee happiness. People find happiness by dwelling on the eternal truths of God and the spiritual values of life. Then, the man and woman can contribute to each other's happiness and joy.
None of us is perfect, and that holds for marriage partners as well. But if you have a good look inside your own mind and study your character and behavior, you will find enough shortcomings to keep you busy the rest of your life.
You are mentally divorced when you indulge in peeves, grudges, ill will, and hostility toward your marriage partner. Cease projecting fear patterns to your marriage partner. Project love, peace, harmony, and good will, and your marriage will grow more beautiful and more wonderful through the years.
Radiate love, peace and good will to each other. These vibrations are picked up by the subconscious mind resulting in mutual trust, affection, and respect.
Lastly, pray together and you will stay together. Scientific prayer solves all problems. Do not take your husband for granted. Show your appreciation and good will, rather than condemnation, criticism, and nagging. Mentally see your husband as he ought to be, strong, powerful, loving, harmonious, and kind. Maintain this mental picture, and you will experience the marriage made in heaven, which is harmony and peace.
Divorce has never been a solution for anyone seeking happiness. Happiness begins within!
Shost ngoja nikuambie kitu,according to you uliolewa coz of mtoto so you beliaved everything itakuwa mwake,look now what is happenig,the same unaamini hutagombana na mke wa jamaa but beliave me lazima mtagombana,Refer your reasons why you married your husband,and what is the reality at the moment
thanx alot.
aisee sijui wewe ni mdada ama kaka lol.
haya ndo mawazo niliyokua nayatafuta, hayatengamani na upande wowote sio mijitu inayokuja hapa kujiongelea mavi tu
Ndoa za mikataba zinakuja soon watu tuahe kuzinguana mkataba ukiisha mnakubaliana muendelee na mkataba wa pili au mmwagane
Dada naona unakoelekea unaweza hata kumuwekea sumu mumeo
Ni mkaka bhana.
Hebu fikiria mara mbili mbili kabla haujafanya maamuzi ambayo baadae yaweza kuja kuwa majuto kwako.
Kwahiyo kama mumeo alikucheat huko nyuma ndio na wewe uchukue maamuzi yakulipiza kisasi? Nadhani hautokuwa sahihi hata kidogo. Je mlikwisha yazungumza kuhusu hizo cheats anazokufanyia? Kama mlishazungumza, hamna mabadiliko yoyote? Na kama hamna mabadiliko yoyote, Je mlisha washirikisha wazazi wenu katika kulitatua jambo hilo?
Unafikiria ukipata divorce ndo utakuwa kwenye real marriage.
Talaka sio suluhusho ya kupata ndoa nzuri, ila ni ninyi wenyewe(wanandoa) kuwa wakweli na wawazi katika mapenzi yenu. Kuelezana ukweli kutamfanya kila mmoja kujua mapungufu yake na kumfanya ajirekebishe.
Pia uvumilivu utaendelea kuiimarisha ndoa yenu na kuwa yenye amani na furaha kila wakati.
Nakutakia maisha mazuri katika ndoa yako.
hiyo comment yako sina uhakika kama umeipaste from somewhere or umeiandika from your head.
nina doubt tu maana mh
Mh!hili nalo neno!
Marriage ni chuo kama vyuo vingine, tofauti ni kwamba Lecturer ni wewe na mwenza wako. Yaani wewe ukimwaga lecture mwenzio anakuwa student, halafu kibao kinageuka, wewe unakuwa student yeye lecturer. Kwa mantiki hiyo lazima uwe na vitabu vya rejea na notes. Ni katika kupitia mojawapo ya notes zangu nimekumegea kidogo.
Huna lolote, mbona huyo jamaa umempa K na kakutotolesha watoto wawili, halafu unasema humzimiki. Ulimpaje K?
Wewe sema bana kuwa sasa umeshazidiwa nguvu na nyumba ndogo, umekuja hapa ili upate ''public sympathy'' na ''moral support'' ya kuvunja ndoa yako......waswahili wanasema maji yameshazidi unga mama....wewe jikate tu kimpango wako mwachie nyumba ndogo aendeleze libeneke!
sasa nimeamini, hopefully utakua mwanaume wa ukwee sio suruali.
hongera
Akili Za karanga, watu wengine 101% ya ubongo vichwani wanaamini Ndoa ni all about kutomban..! Sorry. Ukiona mpumbavu anaelekea shimoni mpishe.. We jiandae kuchukua daftari Na kalam ready Kwa zoezi la rambirambi kisha unapiga panga la nguvu unaondoka zako.yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.
Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.
Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.
jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.
ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
Akili Za karanga, watu wengine 101% ya ubongo vichwani wanaamini Ndoa ni all about kutomban..! Sorry. Ukiona mpumbavu anaelekea shimoni mpishe.. We jiandae kuchukua daftari Na kalam ready Kwa zoezi la rambirambi kisha unapiga panga la nguvu unaondoka zako.
Mawazo ya kuachana (devorce), ni ya wendawazimu Na ya wapumbavu SIO wajinga. Mchakato wa ujinga unaishia mkishafunga ndoa. Kabla ya Kifunga Ndoa ndipo unapoweza kuzichanga karata zako uingie au usiingie, umtose au usimtose. Ukishaingia Umeingia angalia vipaumbele vingine vinavyojenga Ndoa. Mie Hata ushauri Kwa upumbavu sinaga.. Devorce uoane moto wako ndio utajua mapepo yako yamekutosea kuzimu.
simfeel tena hubby na ni wazi na yeye hanifeel. Cheatings zake zilinivuruga sana mwaka jana na juzi nilikua kama kichaa hivi ungeniona.
ila sasa nilishatadhimini, nikagundua kwamba hanipendi maana huwezi cheat live kiasi kile. Na mie nilikua sina mapenzi sanaaaa kwake tangu enzi za uboy/ugal friend ila nilijua nitampenda sana tu kama atanitreat vema, kumbe maybe na yeye alikua anataka sex tu, maana tuliona baada ya kuzaa mtoto.
anyway, mi nafikiria divorce ili niwe kwenye real marriage bana.
we ndoa gani mwanaume nalala nae kama mwanangu au bro wangu na hata akinivuta sijisikii kabisa na sometimes namwambia wazi amtafute hawara ampe kidogo maana mi simfeel.Yana anajua simfeel, mi huwa ni muwazi sana sinaga uongo.
ndoa yangu ina amani ila furaha hakuna, yaani ni kama hii nchi yetu, hakuna vita lakini hakuna furaha! Hii imekaaje, si ndo maana wabongo wamchoka tu hamna maendeleo ya maana basi hata mie ndo hivyo hivyo.
tumeshaongea sana na wazazi ila ndo tukitoka kwenye kikao anaenda kumwambia hawara yake yoteeeee yaliyozungumzwa kwenye kikao!
ah, maamuzi nitachukua taratibu hapa napata maoni, yani nimeshaanza kubadilika taratibuuuuuu