haya bwana hongera. kama haukumpenda toka mwanzo na ukaamua kumuoa. na ikatokea hujampenda tena, mlioana kwa ajili ya mtoto. si uendelee kukaa nae kwa ajili ya mtoto? na wewe haufanyi cheatings za wazi kama yye?
Pole sana dadangu. ila kwa maisha ya sasa watoto bila familia iliyo imara mtawatesa sana! mimi nadhani mliongee hilo kwa faida ya watoto wenu, wekeni ubinafsi pembeni jadilini future!
ndo maana sijielewi nitaishi hivi kwa muda gani? am jus 30, i need to make my life wakati bado mapema
nisifanye cheatings ili iweje?
unadhani mie nyege nazitolea wapi? ila cha ajabu sasa si na huyu wa 42 yrs. Huyu wa 42 yrs amekua kinganganizi tangu nipo form 4 (2000) tena kama ningekua na akiri ningemkubali maana hata yeye kipindi kile alikua hajoa na alikuwa mdogo pia.
cheatings nafanya bana, no problem kila mtu anakula kivyake nje na ndio maana naona ni usenge tu huu.
kuhusu kuishi kwa ajili ya watoto ni wazo zuri nitarifikiria, BIG THANX. Ila watoto wakifika secondary wataenda boarding na hivyo watakua wakubwa so there will be no need of this ndoa maana watoto watatumbelea watakavyo.
Poor gal. Maybe you need a break from each other. Kama holiday. Unajua sisi Waafrika hatuna desturi ya kupeana breaks. Unapokuwa mbali na mwenzio unakuwa una miss kitu ndio maana hata walisema 'ABSENCE MAKES THE HEART FONDER'. I believe you do not have enough grounds to file for divorce. Mlani shetani mpenzi wangu.
Dadangu unaonekana mbinafsi sana (kwenye ndoa usijiangallie wewe peke yako) hii inaweza kuwa coz ya upendo kati yenu kupungua, hebu jithaminishe vzr. tatizo ni nini?
kuna shetani anamendea hapo zidisha maombi
Ah mi nimechoka bana.
mtu ananionyesha live na mwanaume gani anaacga wife atukanwe na hawara?
yaani nimedharau sana kiasi kwamba hata sioni faida yake.
mi nataka mwanaume anayepiga nje na huko nje demu aogope hata kunijua ili asimuudhi hubby.
lo mwanaume gani hana ukali kwa kimada wake bana, linaburuzwaaaaaaa sasa mie la nini?
mi hadi nikupe k ni lazima nikuone ni mkali wa kutosha then nitakupa heshima yako na k juu kama huyo jamaa wa 42 yrs
ila nimejisikia vibaya about that man alivyokucheat na how desparate u were during
that time...huwa inaumiza saaaaana.
ila huyo mwanaume wa 42 achana nae he has a wife tayari...,he will never be available
for you everytime you need him and to him you will be just as an optional may you look
forwad into other opportunities
Mayb upendo umepungua kwa sababu hakufiil tena, tafuta likizo itasaidia sana familia! Nijuavo taliko kwa Wakristo hakuna kwa Waislamu ipo lakini Mungu amesema ndio halali amabyo haipendi zaidi,
So kwa dini yoyote uliyopo jifikirie tena. sawa ehhhhh
siwezi ishi na dume nisililiheshimu[/QUOTE]
Sasa huu ndio upumbavu ninao sema, kumbe majibu tayari unayo sasa unaomba ushauri gani tena? wewe huwezi kuishi nae kwanini umng'ang'anie?
Yaani hizo bold zimeimaliza akili yangu yote kwani hata nilichoandika kushauri nimekifuta hakina mshiko tena. Kuna uwezekano mko kwenye wrong marriage kutokana na wrong couples ila sasa tayari una ndoa tutashauri nini? Ila embu niongeze mawazo ndoa yenu ni ya mrengo gani ie serikali, kristo au Uislamtuna watoto wawili.
yaani tunalala pamoja ila ni kwamba tupo mbali mbali tayari.
mnielewe kwamba hatugombani infact tunaongea fresh tu stori, yaani tukitoka job tunaketi sebuleni na kupiga stori tu ama siasa au mengine ya kijamii tu. Inshort we dont feel each other, na mi napenda wanaume weusi sana and yeye ni mweupe na pia na yeye atakua anazimikia size fulani ya mwanamke maana huyo hawara yake ni umbo tofauti na mimi.
yaani i dont understand this kabisaaaaaaa. i dont love him wala sitaki nizeeke nae, nataka kuwa kwenye ndoa ambayo nitamuonea wivu mume wangu maana huyu hata wivu nae sina.
Ndio hapo mimi mnaponichosha kabisa....yaani kila kitu mnamsingizia shetani....huyu ni mpumbavu asiyejua nini anataka kwenye maisha, sasa shetani kachangia nini hapo.
hapa lipo tatizo kubwa sana, kwanza wakati mnaoana ilikuwaje, alikupenda na ulimpenda au mlioana ili kila mtu ajulikane ana ndoa! kwanini nasema hivyo, coz ukisoma kny blue umesema unatambua wazi ana mtu, na wewe unamkumbuka x wako, hii inatoa picha kwamba, ninyi nyote mlioana bila kuwa na upendo wa dhati! huo ndio ukweli. Na wewe umesema humfeel na akikugusa ni sawa kama umeguswa na mtoto wako wa kiume! inasikitisha sana. So mkikutana kila mtu anawaza mwingine! swali, je, wakati mnaoana hali ilikuwaje?yaani tangu mwezi huu uanze nimekuwa nawaza sana divorce. Naona ndoa yangu ipo ipo tu, yaani hakuna maudhi wala furaha. Natambua wazi ana mtu wake ampendae tatizo huyo dada ni wife ya mtu pia ila na yeye huyo dada ni wazi keshamchoka mumewe kutokana na kusex na mume wangu kitandani kwa mumewe.
Na mi pia, nimshadate wengi tu tangu nina 19 yrs hadi sasa nikitafakari ndoa yangu na mi mwenyewe natamani ningeolewa na jamaa mmoja ambae ana 42 yrs maana hadi leo sijaona mwanaume wa ukwee kama huyu. Ana kauli, mkali kiasi, mcheshi na akipiga nje anapiga kimahesabu yani wife wake kumstukia aoteshwe.
Sasa jamaa ananitaka sana hadi leo, ana watoto 3. Mi nafikiria sijui ndoa yangu ife tu maana sioni faida wala hasara ya hii ndoa wala siwezi sema nampenda na wala simchukii hubby, simfeel chochote yani hata akinigusa ni kama nimeguswa na mwanangu wa kiume tu.
jamani naombeni ushauri ndoa yangu ina 4 yrs only.
ukijisikia kutukana we tukana tu, haina shobo
hivi hujanielewa niliposema sioni kasoro yeyote ya hii ndoa?
nimeshajitadhimini na nimegundua tuliwahi sana kufunga ndoa and maybe kulikua na alot of pressure maana tulikua tumeshazaa mtoto mmoja kabla.
Yaani hizo bold zimeimaliza akili yangu yote kwani hata nilichoandika kushauri nimekifuta hakina mshiko tena. Kuna uwezekano mko kwenye wrong marriage kutokana na wrong couples ila sasa tayari una ndoa tutashauri nini? Ila embu niongeze mawazo ndoa yenu ni ya mrengo gani ie serikali, kristo au Uislam