Pole. Usione wapenzi wameshikana mikono njiani ukadhani wanapendana sana. Wengi wana pretend. Toa kasoro zilizopo kwenye ndoa yako na ikiwezekana jitathmini na kujikagua muone mlikosea wapi.
una watoto wangapi, busara ni kuchukua likizo ukapumzike kwenu kabla hamjaachana, then uwaze na kuwazua ukiwa mbali naye.
Ama niko mvivu sana leo ama sijui,maana andiko lako ni fupi sana lakini nadhani nimeshindwa kukuelewa vema, labda nitarudi.
Ila usivunje ndoa, maana hata huko unakotaka kwenda utaivunja pia.
unataka kumuacha mumeo kwa sababu haumfeel? manake ni wazi cheatings zake hazijakukera.
ama unataka kumuacha kwa sababu unatakwa na huyo ex wako? ambae still anampenda mkewe na kuja kukubamba ni hadi aoteshwe. tafadhali fafanua nielewe kabla sijakushauri mibhange.
Ndoa za mikataba zinakuja soon watu tuahe kuzinguana mkataba ukiisha mnakubaliana muendelee na mkataba wa pili au mmwagane
simfeel tena hubby na ni wazi na yeye hanifeel. Cheatings zake zilinivuruga sana mwaka jana na juzi nilikua kama kichaa hivi ungeniona.
ila sasa nilishatadhimini, nikagundua kwamba hanipendi maana huwezi cheat live kiasi kile. Na mie nilikua sina mapenzi sanaaaa kwake tangu enzi za uboy/ugal friend ila nilijua nitampenda sana tu kama atanitreat vema, kumbe maybe na yeye alikua anataka sex tu, maana tuliona baada ya kuzaa mtoto.
anyway, mi nafikiria divorce ili niwe kwenye real marriage bana.
we ndoa gani mwanaume nalala nae kama mwanangu au bro wangu na hata akinivuta sijisikii kabisa na sometimes namwambia wazi amtafute hawara ampe kidogo maana mi simfeel.Yana anajua simfeel, mi huwa ni muwazi sana sinaga uongo.
Ndio mambo ya kutaka ndoa ili nawe uonekane umeolewa. Ndoa ya aina hiyo ni sawa na kuwa jela au bora kuwa pekee yako kuliko kujisikia mpweke ambapo unamwenzio.
Hii inaonyesha kuwa mmeshachokana huyo kaka wa 42yrs kama ana ndoa yake utaishia kugegedwa tu au kuwekwa kimada iwapo utaamua kuachana na mumeo wa sasa.
Kaeni myazungumze kuliko kupotezeana time, ni bora kujitoa kwenye ndoa hiyo kwa ajili ya kuweka nafsi yako huru na si kwasababu ya kuishia kuwa nyumba ndogo ya mtu mwengine.
Ikiwa huyo jamaa nae ataitosa ndoa yake ili muwe pamoja itakuwa jambo la maana ikiwa hamtoafikiana usikubali kuwa mjinga, huyo alifata kiburudisho.
tuna watoto wawili.
yaani tunalala pamoja ila ni kwamba tupo mbali mbali tayari.
mnielewe kwamba hatugombani infact tunaongea fresh tu stori, yaani tukitoka job tunaketi sebuleni na kupiga stori tu ama siasa au mengine ya kijamii tu. Inshort we dont feel each other, na mi napenda wanaume weusi sana and yeye ni mweupe na pia na yeye atakua anazimikia size fulani ya mwanamke maana huyo hawara yake ni umbo tofauti na mimi.
yaani i dont understand this kabisaaaaaaa. i dont love him wala sitaki nizeeke nae, nataka kuwa kwenye ndoa ambayo nitamuonea wivu mume wangu maana huyu hata wivu nae sina.