Mkuu hatua ya kwanza ni kumpongeza,ni wachache sana wenye mawazo ya kujenga,tena out kubwa ili umpongeze kwa dhati then jadiliana nae ikiwezekana kama documents zina jina lake basi muipangishe hela inayopatikana jengeni nyingine documents zikiwa kwa jina lako,HAPO SAWA?
wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.
Ushauri please coz yamenikuta
Unamshauri mnaamia kwenye hiyo nyumba alojenga alafu ile mliyojenga wote mnaipangisha - pesa zinazopatikana mnafanyia mambo mengine. Ila katika hili lazima uwe mtaalam wa kubembeleza - vinginevyo ndoa yaweza ishia hapo.
Kwa kweli suala hili huwa naona ni kama ulimbukeni kama anania ya kukuficha kwa sababu kisheria mtagawana bado na hapo ni kama labda mnatarajia ndoa kuvunjika.
Kwa namna nyingine yawezekana wife kafanya hivyo baada yakuona akikushirikisha hamtofika popote kutokana na maamuzi yako labda.
Either way hiyo imetokana mismanagement of ur house/family as leaders and being a dysfunctional couple
Mkeo ni kabila gani? Na ww?
Hatuna mgogoro wowote serious zaidi ya mambo madogo madogo tu ya kawaida kwenye ndoa
Hajawai nifuma na sidhani kama ananihisi kua namsaliti
Nimfanyakazi katika taasis ya serikali
hope nimejibu
Mkuu hatua ya kwanza ni kumpongeza,ni wachache sana wenye mawazo ya kujenga,tena out kubwa ili umpongeze kwa dhati then jadiliana nae ikiwezekana kama documents zina jina lake basi muipangishe hela inayopatikana jengeni nyingine documents zikiwa kwa jina lako,HAPO SAWA?
Wanawake wengi wako hivyo kama ana biashara au nyumba wengi hawasemi ni kimyakimya tu hata unapogundua hukatalia katakata!