happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
- Jaribu kutafuta source ya hela alizojengea
- Washirikishe wanandugu
Thanks mkuu but hiyo nia ndo hata mie nimeshindwa kui ng'amua, na mpaka sasa hajanambia ujue, ni baada ya fundi langi wake mmoja kujichanganya na kuja kunidai malipo yao ndo nikashtuka, ikabidi ni lounch investigation ya nguvu, nikafika mpaka kwa iyo nyumba.
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.
USHAURI please coz yamenikuta
Maswali mengine ya kujiuliza,
1. Ana kipato? kinakidhi alichokifanya?
2. mmekubalianaje juu ya vipato vyenu?
3. Mnakusanya mali ya familia au kila mtu anaandika jina lake kwenye kila anachonunua kinachostahili kuandikwa?
4. Ana uhuru gani wa kufanya investment zake binafsi?
5. Kuna mabadiliko yoyote ya kimuenendo ukitrace back? Vipi ushiriki wake kwenye mambo ya msingi ya kifamilia kulinganisha na zamani?
6. Unapoyumba kiuchumi anatoa sapoti yoyote au analalamika hana kitu huku anajenga??
7. Je wazazi wake au ndugu zake wanajua? na kama wanajua wanalijuaje hilo? kama kitu cha kwake cha makazi yajayo au investment au kawajengea wanawe au nduguze???
8 Rafikize wanajua, wanalijuaje???
Etc etc etc
Mkuu ukijiuliza kwa makini hayo maswali na mengine then ukajijibu utapata kitu zaidi.
Ukishapata hiyo source ndio itakuwaje? uwashirikishe ndugu kufanya nini? huna haja ya kuhangaika, mkumbatie mkeo, mpe busu la hongera mmepata nyumba, maisha yaendelee.... siku zote jitahidi kuishi kwa kutafuta amani ya roho... sio kutafuta msongo wa moyo
Jitahidi kujua nia ilikuwa ni ipi na sasa ni ipi na anakoelekea ni kupi. Ukishajua hilo majibu utayata. Ila usikurupuke kulijua hilo hutapata uhalisia wake.
Ukishapata hiyo source ndio itakuwaje? uwashirikishe ndugu kufanya nini? huna haja ya kuhangaika, mkumbatie mkeo, mpe busu la hongera mmepata nyumba, maisha yaendelee.... siku zote jitahidi kuishi kwa kutafuta amani ya roho... sio kutafuta msongo wa moyo
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.
USHAURI please coz yamenikuta
Wakuu unapogundua kuwa mkeo kanunua kiwanja na kajenga nyumba kisiri siri bila kukushirikisha wala kukwambia, Ipi ni hatua sahihi ya kumchukulia kwa hili.
USHAURI please coz yamenikuta[/QUOTE
pole sana, suprise hizi siyo nzuri hasa kwa wanandoa...jiandae kupambana na changamoto.
Maswali ya msingi kumwuliza:
Kwa nini amefanya hivyo?
Je hati ya kiwanja inasomekaje?
Je kipato kinamruhusu?
.............................
achenim kuwa na -ve connotation kwa kila kitu. mambo mengine ni simpo sana.Maswali mengine ya kujiuliza,
1. Ana kipato? kinakidhi alichokifanya?
2. mmekubalianaje juu ya vipato vyenu?
3. Mnakusanya mali ya familia au kila mtu anaandika jina lake kwenye kila anachonunua kinachostahili kuandikwa?
4. Ana uhuru gani wa kufanya investment zake binafsi?
5. Kuna mabadiliko yoyote ya kimuenendo ukitrace back? Vipi ushiriki wake kwenye mambo ya msingi ya kifamilia kulinganisha na zamani?
6. Unapoyumba kiuchumi anatoa sapoti yoyote au analalamika hana kitu huku anajenga??
7. Je wazazi wake au ndugu zake wanajua? na kama wanajua wanalijuaje hilo? kama kitu cha kwake cha makazi yajayo au investment au kawajengea wanawe au nduguze???
8 Rafikize wanajua, wanalijuaje???
Etc etc etc
Mkuu ukijiuliza kwa makini hayo maswali na mengine then ukajijibu utapata kitu zaidi.
Maswali ni mengi ulomtengea na yanaweza kukuza tatizo; hapa tunahitaji kulichukulia suala hili kama jambo la kawaida ili ndoa iweze kudumu; vinginevyo tunatafuta matatizo kwenye ndoa ya hawa wawili wapendanao wenye kipato.
Haya mambo ya kufuatilia kuna wanandoa waliachana kwa sababu mke kaonekana amevaa saa na mmewe hajui imetoka wapi na kibaya mme hakuwa na saa (hii ni miaka ya 1996)
Kama una hasira kama mimi peleka your gun police until this is settled
Mkuu sio kila ndugu au rafiki anafaa kushirikisha kitu. azingatie hilo sana. Ila kwa sasa naona kama atakuwa amewahi sana kwa maana nia ya mke yawezekana ni nzuri tu ila tatizo ni kutokumshirikisha mzee.
achenim kuwa na -ve connotation kwa kila kitu. mambo mengine ni simpo sana.
huyu mume anapaswa amkumbatie mkewe tena kwa busu motomoto ampe hongera mkewe kwa ujasiri na moyo wa bidii kisha sasa na yeye amwonyeshe kwamba ni mume bora kwa kumtia moyo zaid.
hasa ukizingatia jamaa ni bia bora...