Ushauri please

Kiteitei

JF-Expert Member
Jan 14, 2009
1,465
2,000
Hii nimeipata whatsapp.

Mdada kabadilisha profile picture na kuweka akiwa amesimama kwenye korido huku kajishika kiuno kwa pozi na tabasamu mwanana kama maisha yote ni yake peke yake.

Mumewe baada ya kuiona hiyo picha akakumbuka kuwa ile korido ni ya gesti moja maarufu hapa Dar, akawa anahoji akili yake mkewe alienda kufanya nini hapo gesti na alikuwa na nani na ni lini.

Anatamani kumhoji mkewe kuhusiana na hilo lakini anashindwa maana ataulizwa aliijuaje hiyo gesti hadi kukremisha korido isitoke katika kumbukumbu zake.

Hebu mshauri huyu ndugu achukue hatua gani.
 
M CM

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
2,431
2,000
Iundwe tume ya kuchunguza hayo mambo je nani kati yao kahudhuria mara nyingi zaidi kwenye hiyo gesti
 
Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
25,481
2,000
Mii kuna mtoto mmoja wa chuo, enzi hizo, new container likishuka!
alinielekeza g.house ya kwenda kuduu nae!
ili kujiridhisha na dhana yng kwake, nikataka anithibitishie uzuri wa hiyo g.house, akanambia vitanda vikubwa, godoro nene, ac na tv ndani kwa vyumba vya 20000! hakuna mbu! Afu chai bure!
Hamu iliniisha!
 
golder

Member
Dec 14, 2014
9
0

Hahaha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom