Ushauri please!

Ushauri please!

Ndio ktk uislamu hata m/mke anatoa talaka, talaka inaitwa 'KHUL' sharti zake ni kuilipia hiyo talaka IKIWA MKE AMEMCHOKA MME, lakini ikigundulika mme ndio kasababisha (hagegedi, hatunzi watoto, hapeleki mahitaji, anapiga sana, mzinifu nk) m/mke ATAONDOKA BURE. Kama ni kweli uliyohadithia, mwambie huyo mke aende tu kwa shekhe au mahakama ya kadhi akachukue (sio akaombe) talaka yake, kwani anahaki zote za msingi kuipata hiyo talaka bure. Ktk uislamu ndoa SI ndoano, mme anaweza kuacha na mke pia anayo hiyo haki hata kama hana sababu hata moja, akiwa hana sababu ya msingi ni lazima alipie mahari yaliyotolewa, then inashauriwa mme asamehe hayo mahari.
 
Kuna rafiki yangu ana mume ambae sio mtu wa kawaida. Naposema sio mtu wa kawaida na maanisha binaadamu wa kawaida hawezi kua na mapungufu mengi ya kimaumbile ila huyu shemeji yangu ni too much,

roho mbaya yeye, wivu uliopindukia yeye, matusi yeye tena anamtukana mke wake mbele za watu, pombe yeye, kuhusu wanawake wa nje ndo usiseme, anatembea na ma baamed, makahaba, kwaufupi skert haikatizi mbele yake na kwa fununu zilizopo ni kwamba hao makahaba anawasodomaiz,

hamhudumii mkewe eti kwa sababu mkewe anakazi basi ale asile yeye hajali.

Rafiki yangu amekonda sana na kwa ufupi hawezi tena kumvumilia kwani anahofia kupata ukimwi, wote ni waislam hivyo kunauwezekano wa kuachana. Cha ajabu mwanaume ameapa kua hawez kumuacha mke wake na kujirekebisha hataki. Nimsaidieje rafiki yangu? Maana ananitegemea sana mm katika suala la ushauri na mm nishindwa ndio maana naomba ushauri.
Aonane na viongozi wa dini walio karibu yae haraka bila kupoteza siku, hali yake ni hatarishi..
 
mashaxzo napenda kukukumbusha kua hakuna haki ya mke kua nae anatoa talaka km ingekua anatoa talaka basi wanaume sote tungeachwa ila anayohaki ya kudai talaka kwa sababu za msingi

Pia rudia aya ilisema kua mwanamke akidai talaka basi ajikombowe na sio arejeshe mahari mume anaweza kudai fidia ila si mahari aliompa ila sisi tunatafri kua arejeshe mahari aya iko hivi:

"Na mtakapoaacha wanawake basi musichukuwe chochote katika mulivyowapa na mutachukuaje ilihali mumeshachanganyika nao"
"Na kama mwanamke atadai talaka bila ya udhu basi ajigomboe"

Rudia vyema suratun nisaa

Na mungu anajua zaid
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom