Anataraji kuingia chuo mwaka huuKinachomsumbua ni mazingira aliyokulia pamoja na uduni wa wazazi wake hadi kuingia katika hiyo imani,njia ya kumbadilisha ni kuhamia maeneo ya wastaarabu,mtafutie chuo cha kujiendeleza n.k atabadilika tu.
😂😂😂Shukuru Mungu umepata hata akili za kuleta Uzi humu!
Atabadilika na kuwa mstaarabu,ondoa shaka
mkuu ni Kweli? Au Umeleta ChaiDuh we acha tu ndugu yangu nakingine dini tofauti ila tulikubaliana akija kukaa kwangu tutaanza kusali katika dini yangu kwa maana hiyo alikubali kubadili dini ila kafika kwangu naona kama nikimwambia habari hizo anazipotezea kiaina hata tukianza kula mimi naposali yeye anasema kishasali yaani mimi nasali yeye alishaanza kula
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu embu funguka mshirikina kiaje anakuloga wewe na watoto wako au, au anatumia ushirikina kwa ajili ya kukuza kipato chake au inakuwajeNina mwanamke ambaye tumedumu nae kwenye mahusiano takribani miaka 5 nasasa tunamtoto mmoja na anamimba ingine nandio nimeanza kuishi nae hivi karibuni mwaka huu huu January. Sasa nimegundua nimshirikina mbwa yaani nishiriki mbwa naposema nimshirikina jamani mnielewe kuwa nimshirikina balaaa nimegundua baada yakuanza kuishi nae. Katika makuzi yangu sikuwahi kuwaza hayo mambo kabisa nawala sijawahi kuomba nipate mwanamke mwenye imani hizo.
NB: nimejaribu mara kadhaa kumkanya ila yeye ndio amekuwa akinishangaa mimi, yaani ananiona kama mshamba flani hivi. Yaani nimeona uwezekano wayeye kubadili mwenendo naona hawezi kubadilika kabisa.
Sasa jamani huyu mwanamke namuachaje natayari mda sio mrefu atakuwa nawatoto wawili namimi? Naameshaniambia kumuacha haiwezekani labda yeye ndio aamue. Naombeni ushauri jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuKwanza jifanye unabadili msimamo kwa kujifanya unamuunga mkono. Halfu mdogo mdogo unmuomba Mungu huku ukimsihi apunguze hayo mambo. Kumuacha huwezi. Kausha naye tu as long as haiathiri maendeleo yako.
Sent using my Nokia Torch
Mkuu ungefatilia baadhi ya comment zangu ungepata jibuSasa mkuu embu funguka mshirikina kiaje anakuloga wewe na watoto wako au, au anatumia ushirikina kwa ajili ya kukuza kipato chake au inakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha. But he can always beat "them"If you cant beat them mkuu,join them!
That's why I gave him the two options mkuu!Hahahaha. But he can always beat "them"