Ushauri please

Jamii nzima itanionaje sijui tu yaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asikutishe huyo piga chini, ukikomaa nae wanao wote watakuwa wachawi kama mama yao!! Pia mda si mrefu utaanza kuwakoswa wanao mmoja baada ya mwingine maana ataombwa kafara na wenzake, mchawi dawa yake uwe jasiri, ikijifanya kuwa mwoga ndio kwanza anatumia huo udhaifu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mimi ndio sielewi au hivi mchawi namshirikina inamaana hawana tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani mimi ndio sielewi au hivi mchawi namshirikina inamaana hawana tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
mchawi ni yule anaewanga ktk nyumba za watu.
Mshirikina ni mtu ambaye ni mhudhuriaji sana na ni mteja wa mganga. Mshirikina anaweza kuwa mchawi wa uchawi wa kununua!! lkn mchawi ni asiri yake au karisishwa na mabibi/mababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni kumuomba tu Mungu akusaidie kwa akili zako na nguvu zako mwenyewe hutaiweza hiyo vita.
 
Nenda kwa viongozi wa imaani yako haraka ukaokolewe hakika ukiendelea kuishi na mshirikina ndani pasipo kushirikianae nae ni sawa na kufuga nyoka ndani atakumeza.

Unayo bahati sana umemgundua kabla hajakutengeneza.Fanya hima ukaokolewe na watoto wako kabla ile msemo wa mshahara wa zambi ni mauti haujakufika.
 
Mchukue mkeo muhamie maeneo ya waliostaarabika,pia jaribu kumshauri muwe mnaenda kwenye maombi.Nadhani ataanza kubadilika taratibu na kuendana na wakati.
 
Mchukue mkeo muhamie maeneo ya waliostaarabika,pia jaribu kumshauri muwe mnaenda kwenye maombi.Nadhani ataanza kubadilika taratibu na kuendana na wakati.
Duh we acha tu ndugu yangu nakingine dini tofauti ila tulikubaliana akija kukaa kwangu tutaanza kusali katika dini yangu kwa maana hiyo alikubali kubadili dini ila kafika kwangu naona kama nikimwambia habari hizo anazipotezea kiaina hata tukianza kula mimi naposali yeye anasema kishasali yaani mimi nasali yeye alishaanza kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachomsumbua ni mazingira aliyokulia pamoja na uduni wa wazazi wake hadi kuingia katika hiyo imani,njia ya kumbadilisha ni kuhamia maeneo ya wastaarabu,mtafutie chuo cha kujiendeleza n.k atabadilika tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…