Vitisho hivyo, ukijaa upepo unalaoYani mwanamke anakwambia huwezi kumuacha halafu unaomba ushauri?!
Atakua anazipata nguvu kupitia mama yake cha kufanya anza na mzizi mkuu kupamba nao
Nimekuwa nikikuta dawa mbalimbali nyumbani nikimuuliza anajibu ili wasituchezee usiku, navilevile amekuwa ananiambia nisijibweteke nianze kutembea kwawataalamu kuhusiana namambo ya utafutaji anasema watu wanarogana sana. Kingine kuna mwanamke nilishawahigi kuwa nae kipindi chanyuma na kwabahati mbaya/nzuri nilimpatia ujauzito nayeye akajua ikawa mtiti na mimba ikawa imeharibika katika mazingira yautata ndio yeye sasa kaniambia alifanya ile mimba ya mwanamke mwenzake kuharibika
Mkuu kwaushirikina nipo tayari kumuacha ila yeye ndio hana mda wakuachana namimi. Kingine naogopa kwao watanionaje mpaka anazaa mtoto wapili inamaana nilikuwa siyajui hayo? Ndicho ninachohofiaHiyo kauli ya kumuacha huwezi mapaka yeye aamue amekujaza upepo mkuu hakuna nguvu inayoishinda nguvu ya MUNGU mzee baba, najua hapo umetetereka mpaka, ila nirahisi sana kama anataka mpambane kiroho, lakini shida ni watoto tu hapo ndiyo uzito ulipo
Mkuu naanzaje namama yakeAtakua anazipata nguvu kupitia mama yake cha kufanya anza na mzizi mkuu kupamba nao
Duh hatari sana mzee pole pia kama unaweza ukamuacha muache aende hila watoto wawili kuachana ni ngumuNimekuwa nikikuta dawa mbalimbali nyumbani nikimuuliza anajibu ili wasituchezee usiku, navilevile amekuwa ananiambia nisijibweteke nianze kutembea kwawataalamu kuhusiana namambo ya utafutaji anasema watu wanarogana sana. Kingine kuna mwanamke nilishawahigi kuwa nae kipindi chanyuma na kwabahati mbaya/nzuri nilimpatia ujauzito nayeye akajua ikawa mtiti na mimba ikawa imeharibika katika mazingira yautata ndio yeye sasa kaniambia alifanya ile mimba ya mwanamke mwenzake kuharibika
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe soma uelewe
Najuta aisee NINGEJUA inakuja mwisho wasafariDuh hatari sana mzee pole pia kama unaweza ukamuacha muache aende hila watoto wawili kuachana ni ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio umewaza hayo inamaana miaka mitano yote sijawahi kuwa namichepuko?
Acha kumjaza mwenzio upepoPole sana na makinika hapo kwenye kumuacha kwakuwa kama ukifanikiwa (am not sure kama utaweza) basi utaharibikiwa mazima cause you never know keshakutengeneza kiasi gani
Jr
HahahaShukuru Mungu umepata hata akili za kuleta Uzi humu!
Unahofia kuwa kwao watakushangaa kwamba ulikua hujui kama mwenzako ni mchawi? Ahhhh mkuu unaniangusha sasa yani wewe hofu yako ni hiyo tu badilika mzee nahisi hata unavyowaza atakua amaeshakuchezea sana, kwanza watakushangaaje wakati mama yake ndiyo mtaalamu, yani wewe wanakupulizia madawa sana hata usijijue kabisa ni vizuri sasa wajue umejua imetokea umejua ndiyo wajue sasa dawa zao hazifanyi kaziMkuu kwaushirikina nipo tayari kumuacha ila yeye ndio hana mda wakuachana namimi. Kingine naogopa kwao watanionaje mpaka anazaa mtoto wapili inamaana nilikuwa siyajui hayo? Ndicho ninachohofia
Sent using Jamii Forums mobile app