Daah! Kuza vipaji hivyo..Hao ni ma-francis Cheka wa baadae...
Bahati iliyoje..waache tuu...wawekee na mieleka kabisa wawe wanaangalia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah! Kuza vipaji hivyo..Hao ni ma-francis Cheka wa baadae...
Bahati iliyoje..waache tuu...wawekee na mieleka kabisa wawe wanaangalia
Yaaani mimi hadi leo, tunaongea vizuri tukiwa mbali coz ni tupo mikoa tofauti ila tukikutana likizo tunakinukisha hata kwa jambo dogo tu[emoji1] [emoji1]watoto wanaofatana mara nyingi ni hivo.....
enzi zangu ilikua haipiti siku sijapigana nipo katikati ya watoto wa kiume, leo napigana na kaka angu kesho mdogo angu ha ha ha