Mwanaume ndio unapaswa kuwa na madini ya bei kubwa, ukikwama unajisalimisha kwa sonara unapunguza gram unapewa cash na pete nyingine yenye gram ndogo. Hizi ndio akili za namna ya kuishi mjini na kukabiliana na stress za Ngosha ili usiunganishwe kwenye orodha ya kuishi kama shetani.