Ushauri: Pete ya ndoa

Duh maskini kuna wanaume hawajui hata Pete ya ndoa uko ndani siijui itakuwaje
Pete ya ndoa na maisha ya ndani ya ndoa vinahusiana vp!?

Babu yako alipomuoa bibi yako alimvisha pete!?
 
Nashukuru kwa ushauri wenu, binafsi sikuwa na uzoefu wa haya mambo ndiyo maana nikauliza ili nisije kukosea na kiukweli nimejifunza sana,

Nadhani Gold ya Gram 3 inaweza tosha au itakuwa ndogo?
 
kitu gold bana, una Bahati dolla imeshuka gram moja leo ni 81 058.14

kama pesa ipo mtengenezee kwa gram 9 kitu kama laki 7....

tumia pesa ikuzoe
 
Hii kwa hawa wetu wa manzese si balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…