Unashinda hapo jioni ili kupata ujuzi ????? Ili ajira yake iondoke ukishajua. atakuwa anakutuma kila wakati,Habar wana jf
Kama heading inavyojieleza.Mimi sio fundi wala sina uelewa na mambo ya kutengeneza simu.
Kuna kiasi firan cha pesa nategemea kupata siku za uson.sasa naplan nifungue ofisi ya kurepar simu,maana mazingira nliyopo nahis inaweza ikanilipa.
Nmekuja kwenu mnisaidie vitu muhimu ambavyo natakiwa kufanya kabla ya kufungua
Mnijuze vifaa muhimu vinavyotakiwa na ningesgukuru kama mtu atanitajia na bei zake
Pia namna nzur ya kuendesha kwa kua fundi ntamtafuta na Mimi ntakua nashinda hapo jion ili kupata ujuzi kidogo.
Natanguliza shukran
Hata nkijua mimi sitokua mkaaji maana nnashuguli nyingineUnashinda hapo jioni ili kupata ujuzi ????? Ili ajira yake iondoke ukishajua. atakuwa anakutuma kila wakati,
Katika suala la uaminifu tafuta ndugu yako kabisa, kama sio ndugu yako basi ujue huyo atakutia matatizoni.
Vifaa vya simu havihitaji mtaji mkubwaDuka la vifaa mtaji ni tatizo
Asante sana Mkuumuhimu ni uwe na uelewa mpana wa masuala ya simu,matatizo yake. ujue kipi kikishindwa kufanyika kipi ni chanzo mfano simsikii anaenipigia unaweza angalia
1.settings za volume,if is ok go to next step
2.pima resistance ya speaker ya simu. tumia multmiter etc kama si nzima replace kama ni nzima goto next step
3. pima connection za speaker circuit, pima connection(multimiter) kama itaonesha tatizo unaweza fanya jumper. au kureplace kilicho kibovu.
huo ni mfano wa kujifunza kwa haraka ufundi simu;
Sijajua uko wapi ila kwa vifaa tu vya simu ukiwana laki tano inafaa kwa kuanzia kama huna hiyo hela unakuwa unachukua oda ya mteja na analipa nusu ya beiNaweza nikanzia kiasi gani
Software unatakiwa uwe mjanja mjanja maana kuna matatizo mengine huwa kwa msaada wa google hivyo penda sana kusoma mtandaoni, ingia sana JF jukwaa la Tech, Gadgets and science forum. Ukiongeza na kukaa na mafundi simu na ujanja ujanja mwingine wa kuwafahamu mafundi wazuri mjini itakusaidia ila kikubwa uwe mwaminifu yaani unachukua simu ya mtu kama huwezi unampelekea fundi mzuri anatengeneza huku unapiga desa lakini ukirudi kwa mteja unachukua ujiko wako wa kutengenezaNataka pande zote japo binafsi napenda nijikite upande wa software na ntakayemuweka awe hardware au kote
Hata mkoa lazima kuna sehema wanauza hivyo vifaa kwa bei ya jumla Fanya utafitiTatizo Niko mkoa
Nikipata MB ZAKUTOSHA ntakuletea mautundu ya kutosha mkuuHabar wana jf
Kama heading inavyojieleza.Mimi sio fundi wala sina uelewa na mambo ya kutengeneza simu.
Kuna kiasi firan cha pesa nategemea kupata siku za uson.sasa naplan nifungue ofisi ya kurepar simu,maana mazingira nliyopo nahis inaweza ikanilipa.
Nmekuja kwenu mnisaidie vitu muhimu ambavyo natakiwa kufanya kabla ya kufungua
Mnijuze vifaa muhimu vinavyotakiwa na ningesgukuru kama mtu atanitajia na bei zake
Pia namna nzur ya kuendesha kwa kua fundi ntamtafuta na Mimi ntakua nashinda hapo jion ili kupata ujuzi kidogo.
Natanguliza shukran
Safii mkuumuhimu ni uwe na uelewa mpana wa masuala ya simu,matatizo yake. ujue kipi kikishindwa kufanyika kipi ni chanzo mfano simsikii anaenipigia unaweza angalia
1.settings za volume,if is ok go to next step
2.pima resistance ya speaker ya simu. tumia multmiter etc kama si nzima replace kama ni nzima goto next step
3. pima connection za speaker circuit, pima connection(multimiter) kama itaonesha tatizo unaweza fanya jumper. au kureplace kilicho kibovu.
huo ni mfano wa kujifunza kwa haraka ufundi simu;
Habar wana jf
Kama heading inavyojieleza.Mimi sio fundi wala sina uelewa na mambo ya kutengeneza simu.
Kuna kiasi firan cha pesa nategemea kupata siku za uson.sasa naplan nifungue ofisi ya kurepar simu,maana mazingira nliyopo nahis inaweza ikanilipa....
Pia namna nzur ya kuendesha kwa kua fundi ntamtafuta na Mimi ntakua nashinda hapo jion ili kupata ujuzi kidogo.
Natanguliza shukran
Mkuu Veta hakuna ufundi Simu la electronicsUkipata pesa nenda VETA ukajifunze ufundi huo kwanza