USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

Mkuu pole sana wanawake tuna mambo mengi sana ya kishenzi. Hiyo pisi imekosa furaha na matunzo ndo ikakumbuka mfupa aloutema zamani.

Sasa kama unaweza jikaze tu hata hyo mbususu usile atakufanya chuma ulete huyo.
Mbususu haisuswi kamwe.
 
Hahaha Sasa akale mbususu yamkute mambo,,maana anaweza ambiwa ana mimba yake kabisaa,,Kuna wanawake Wana akili za hovyo
Mimba kivipi wakati mwanamke condom zipo bwana.
Alafu huyo kumuacha mbona rahisi tuu...ukishapiga kama bao mbili lile la tatu unajidai umekosea shimo
 
Aiseh!

so mahusiano yalivyoanza ulikuwa unatuma pesa, unapanga kuonana unapewa sababu nyingi!

nimesoma red flag (bendera nyukundu) za kutosha na naweza kukushauri uendelee na maisha yako, utapotea mkuu!

ila kama unataka kukumbushia huku ukitoa mshiko kidogo kidogo wewe endelea!

ila nakushauri ukaushe mkuu!

kaa mbali!
 
Mkuu pole sana wanawake tuna mambo mengi sana ya kishenzi. Hiyo pisi imekosa furaha na matunzo ndo ikakumbuka mfupa aloutema zamani.

Sasa kama unaweza jikaze tu hata hyo mbususu usile atakufanya chuma ulete huyo.
Ahsante mkuu, sio wanawake wote wako hivyo lakini naona huyu mwenzenu ndio anawavurugia. Kama sio kukimbilia humu kupata ushauri....sijui ningekuwa wapi.
 
Aiseh!

so mahusiano yalivyoanza ulikuwa unatuma pesa, unapanga kuonana unapewa sababu nyingi!

nimesoma red flag (bendera nyukundu) za kutosha na naweza kukushauri uendelee na maisha yako, utapotea mkuu!

ila kama unataka kukumbushia huku ukitoa mshiko kidogo kidogo wewe endelea!

ila nakushauri ukaushe mkuu!

kaa mbali!
Imekaushwa hiyo mkuu, shukran tena sana.
 
Sijaoa na pia mtoto bado, na kwa sasa sina mpenzi.
Kiukweli nataka kumchakata, lakini sitaki drama za kutumika ovyo. Wengi wamenishauri nimkaushie....na wewe je? Wanishauri nifanye nini?
Kumbe ka moyo kanamtaka, tukikuzuia utaenda tu mi naona fanya moyo wako unachopenda ila kinga ni muhimu

Nb limbwata nayo ipo huwezi juwa anakuwazia nini
 
Back
Top Bottom