USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

Hakutaki wewe ila anataka huduma zako, na usikute hawajaachana ila Baba Mtoto huduma sifuri ndo kaamua ajiongeze kwako hawa Viumbe hawa mh!!!!
 
Cha kufanya kachakate mbususu kulipiza alivyo kula kipindi hicho kisha achana nae tapeli huyo
 
Hakutaki wewe ila anataka huduma zako, na usikute hawajaachana ila Baba Mtoto huduma sifuri ndo kaamua ajiongeze kwako hawa Viumbe hawa mh!!!!
Eeh mkuu, ndo staili yake hii, kipindi ile baba mtoto anamdekeza sikuona mtu ananisumbua. Saa hivi itakuwa anapigwa matukio ndio anaona anifanye baba mlezi.
 
Achana naye why second option mkuu. Yaani demu anikatae first time ajirudie second time.
Huna soko ama hujui labda Kuna msala anataka muwe pamoja ,labda uchangie matumizi. Moyo wake haukuwa na hauko kwako sema ukipenda unakuwa kipofu na bado utamrudia Mana ulivyomuelezea bado unampenda
 
Kiukweli, kama sio kuja kupata ushauri humu, ningeingia kingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…