Ushauri: Niombe fedha kwa mchepuko au niache?

Sasa mkuu nifanyeje? Na dogo anatakiwa kwenda shule tarehe 29?
Nyie walimu mmepata mshahara Jumamosi tarehe 19 sasa umeshindwa kuibana ukaachana na matumizi yasiyokuwa na lazima umekaa unamtolea macho mfanyakazi mwenzio huo ni udhaifu na utajichoresha sana. Mwananume usiwe kilialia ukiona kichaka mavi yanakubana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata mimi huyu jamaa nahic philosophy na psychology ya profession yake havimsaidii kabisa
 
Naona tpaul anatupiga kamba hapa. Mkuu mwombe ila usimwambie kama ni karo ya dogo. Tafuta sababu tu nyingine ya dharula
 
Kama anakupenda ukampanga vizurii mbona Atakupa hadi ATM card ukajitolee mwenyewee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na alafu kama mimi nikikopaga kwa manzi huwa simlipii...
 
Njooo pm
 
Karibu pm.nikusaidie jinsi ya kupata hiyo ada.lakini mkopo na uwe mwaminifu.ndani ya miezi ,3 iwe imerudi
 
Omba tu hata akikunyima utajua hakua na mapenzi ya dhati kwako.

Mkuu anaweza akwa hana hela, nafikiri mapenzi ya dhati hayapimwi kwa kunyimwa hela.

Jamaa tu aliingia kwa gia ya mkwanja so uongo aliuzidisha Now amejikuta yupo nje ya ukweli.
shida is Real ila bado anaigiza ana maisha mazuri
 
Mwanamke anaekupenda kaka angu kama anacho atakupa tu.
Hata kama aliingia na gia hiyo bado kuna muda mambo yanakwama
 
Baadae tusilalamike kuwa tuna viongozi wabovu wasio kuwa maarifa kama walimu wenyewe ndio hawa
 
Hawa viumbe hela yao haitokagi
Ni kweli kabisa. Yupo tayari akupe mgegedo siku nzima hata ikibidi ufie kifuani mwake lakini sio akupe hela. Ndio maana nimweka thredi hii hapa ili wadau wanisadie mawazo jinsi ya kumuingia huyu mwanamke.
 
Ambao walishasaidiwa watakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…