Ushauri: Ninunue gari aina gani?

Ushauri: Ninunue gari aina gani?

bugzbunny

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
847
Reaction score
763
Wakuu,

Ni naomba ushauri juu ya aina ya gari la kununua nikija Tanzania na vigezo ni hivi;

1 .Liwe na fuel consumption nzuri.
2. Lisiwe dogo sana, kama Passo mfano,
3. Liwe na mwendo mzuri na
4. Uwezo wa kwenda masafa marefu.
 
Wakuu, Ni naomba ushauri juu ya Aina ya gari la kununua nikija Tanzania na vigezo ni Hivi,
1 . liwe na fuel consumption Nzuri.
2. Lisiwe Dogo sana, kama passo mfano,
3. Lowe na mwendo Mzuri na
4. Uwezo wa Kwenda Masada marefu.

Hilo gari "LOWE" na mwendo mzuri na uwezo wa kwenda "MASADA" marefu haki ya mama halijatengenezwa usije ukaongopewa humu Jf
 
Misha edit mkuu. Be positive ,toa ushauri
Sasa kumbe ushauri umeuelewa na umeufanyia kazi
U negetative uko wapi hapo ?

Hilo la gari sina msaada watakuja wadau
Mimi mara ya mwisho kumiliki chombo cha 'moto' nilikuwa na Phoenix baiskeli
 
Wakuu, Ni naomba ushauri juu ya Aina ya gari la kununua nikija Tanzania na vigezo ni Hivi,
1 . liwe na fuel consumption Nzuri.
2. Lisiwe Dogo sana, kama passo mfano,
3. Liwe na mwendo Mzuri na
4. Uwezo wa Kwenda Masafa marefu.
Habari yako mkuu,
Nakujibu swali lako ingawaje kuna watu ndani ya hii forum kazi yao ni kuzinduka na kuvuruga mawazo ya watu.
Pamoja na kwamba hukueleza gari ni katika group gani 2wheel au 4wheel pia bei za gari zinapitana.
Gari iliyo ya kawaida sana na hakuna inachokosa na consumption yake ni nzuri ni TOYOTA CARINA Ti model AT 212 au TOYOTA Rav 4 ....model SAX 11 isipokuwa jitayarishe kwa Kodi sababu hizi gar ni za miaka mingi iliopita.
Damping fee ni kubwa lakini ndio gari ya mtu wa kawaida sasa hatuelewi madhumuni na malengo ya hizi serikali zetu ni nini.
 
Mkuu akhsante ,sasa ninaanza kuzitafiti hizo ulizonieleza.
 
Habari yako mkuu,
Nakujibu swali lako ingawaje kuna watu ndani ya hii forum kazi yao ni kuzinduka na kuvuruga mawazo ya watu.
Pamoja na kwamba hukueleza gari ni katika group gani 2wheel au 4wheel pia bei za gari zinapitana.
Gari iliyo ya kawaida sana na hakuna inachokosa na consumption yake ni nzuri ni TOYOTA CARINA Ti model AT 212 au TOYOTA Rav 4 ....model SAX 11 isipokuwa jitayarishe kwa Kodi sababu hizi gar ni za miaka mingi iliopita.
Damping fee ni kubwa lakini ndio gari ya mtu wa kawaida sasa hatuelewi madhumuni na malengo ya hizi serikali zetu ni nini.
Vipi kuhusu NISSAN MURANO NA NISSAN DUALIS, gari hizo binafsi nazipenda sana lakini ni gari adimu sana mtaani inaelekea watu hawazipendi. Naomba kujuzwa tatizo au uzuri wa gari hizo. Asante.
 
Wabongo wamekariri Toyota ndio maana
 
Fuel consuption

Angalia
1. Rav 4
2. Klugger
3. Porte
4. Carina Ti
 
Back
Top Bottom