Ushauri: Nina wasiwasi mtoto sio wangu

Ushauri: Nina wasiwasi mtoto sio wangu

kuna wengne wanatumia kigezo cha mtu w pembeni il kukupima upendo wako.
 
ndo hivo mkuu huyu jamaa aliepost fb anajua kwamba ana mtoto kumbe sio.
watanzania kiasi flani wanalea watoto ambao sio wao.
 
wana jf bwana mnavyoitaja iyo DNA utadhan sh. 500 za kitanzania
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom