Baada ya ugomvi kaniambia mtoto sio wangu, ushauri wenu unahitajika

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Kuna mwanamke nilikuwa nikiamini nimezaa nae mtoto na mtoto amefikisha mwaka na zaidi Sasa wa kiume ila leo limetokea tatizo

Tulikuwa na ugomvi binafsi ikapelekea mwenzangu akachukia na akaniambia nifute namba zake

Baada ya kuniambia hivyo nikamuuliza nafutaje wakati Mimi na yeye tuna mtoto?

Jibu alilonijibu kuwa mtoto sio wangu tulikuwa tunachati nikaona nimpigie nikamuuliza akajibu vile vile kuwa mtoto sio wangu

Kiukweli ninechanganyikiwa sijui nifanyaje naombeni ushauri ndugu zanguni najihisi kushindwa kujicontrol
 
Pole sana Tuliza Akili pitia Maandiko Matakatifu sikiliza Nyimbo za kumsifu Mungu na ukuu wake utakuwa sawa.

Kuua siyo kutatua tatizo wewe bado ni Mwanaume watoto wengine watoto kiunoni mwako.

Huyo mwanamke atakutafuta
 
Daha
 
Kunamwanamke nilikuwa nikiamini nimezaa nae mtoto na mtoto amefikisha mwaka na zaidi Sasa wakiume ila leo limetokea tatizo

Tulikuwa na ugomvi binafsi ikapelekea mwenzangu akachukia na akaniambia nifute namba zake

Baada yakuniambia hvyo nikamuuliza nafutaje wakati Mimi na yeye tunamtoto?

Jibu alilonijibu kuwa mtoto sio wangu tulikuwa tunachati nikaona nimpigie nikamuuliza akajibu vile vile kuwa mtoto sio wangu

Kiukweli ninechanganyikiwa sijui nifanyaje naombeni ushauli ndugu zanguni najihisi kushindwa kujicontrol

Jiachie tu kama huwezi kuji control
 
Piga magoti, mshukuru MUNGU, endelea na maisha yako.
 
...Tuliza Akili. Umesema Mlikuwa na Ugomvi.
Sawa. Mwanamke akiwa amechukia anaweza kuropoka lolote ili kukuumiza roho! Achana naye.
SI ametamka hivyo? Wewe achana naye na uendelee na Mambo Yako mengine.
Usimuuliza chochote. Usimuuliza la Mtoto Wala Nini, Atarudi TU Mwenyewe.
Usipaniki. We kauka TU.
Atakutafuta TU.....!
 
Kama una toho ya paka, kauka tu. Usimtafute kabisa.

Japo ni ngumu kama una bond na mtoto, ila ndo ivo ni bora ukaushe tu.
Ila kama una uhakika mtoto ni wako pigania, kama huna uhakika bora ukaushe usizidi kujitafutia maumivu ukitaka kujua mtoto ni wa nani, kwanini alikucheat nk nk.

Piga kimya.
 
Hiyo kauli aliyotamka sio ya kitoto
Usipuuze Wala usiichukulie serious sana
Wanawake wakiwa na hasira hutamka chochote ilimradi akustress nafsi yako, usononeke na yeye ajione ndie mshindi.

Kitendo Cha wewe kuumizwa na Maneno hayo, tayar kwake anajiona mshindi wa huo ugomvi japo yeye kwa MDA huo hajui impact ya alichokisema. Maneno yanauma

.
 
Huyo Dawa yake NDOGO SANA

Kaa kimya na relax,
Mvizie Mkishakaa sawa,
Mda Akiomba chochote khs mtoto,
wee mkumbushe tu Yale Maneno yake,
Afu kila Mara ukiwa nae muangalie mtoto kwa kumtilia mashaka,
afu onyesha kusudi kutokumjali Wala kumpenda au unamchukia laivu laivu.

Hii kitu nakuapia itamtesa sana kisaikolojia, na kwa upole atakuita mezani myazunguze na atakuomba radhi kua zile zilikua ni hasira.
 
Back
Top Bottom