Ushauri: Nina mimba ya mume wa mtu

Inaonekana wewe ni mama wa familia, naona umeumizwa sana na yeye kutoka na Mme wa MTU kuliko kumhurumia yeye
Mimi nasema ni bahati mbaya
Kumbuka mwanamke anadanganyika kirahisi,
Nakataa hii dhana ya kwamba wanawake wanadanganyika!kama hakujua kuwa jamaa alikuwa kaoa ni Saw a kusema kadanganyika ila huyu alikuwa anajua kila kitu!
 
Inaonekana wewe ni mama wa familia, naona umeumizwa sana na yeye kutoka na Mme wa MTU kuliko kumhurumia yeye
Mimi nasema ni bahati mbaya
Kumbuka mwanamke anadanganyika kirahisi,
Ni kweli chief1 nachukizwa sana na hii tabia. Bahati mbaya nasuluhisha ndoa nyingi na kuwatia moyo wanawake waliopo kwenye ndoa kwa ajili ya mabinti kama hawa. Kimsingi Nawahurumia wawili hapo, Mtoto asie na hatia na mke wa baba kijacho. Hawa wengine wavune walichopanda.
 
Ivi iankuwaje uantembea na mume wa mtu?
Kiuhalisia hapo umaanzisha tatizo ambalo litakutafuna kila siku
umejishushia hadhi kutembea na mume wa mtu
pole sana... mpe taarifa na mkewe kuwa mtapata mtoto soon
 
Ni mume wa mtu ambapo ulijuwa kabisa there is no future with him,mficha maradhi kifo..., sasa umeficha siri kwa muda kwa kutembea na mume wa mtu now everythng went worse, hebu jaribu kuwaza una mume halafu kuna mwanamke anatembea naye how could you feel?tamaa ikizidi akili matokeo huwa hivi.malipo ni hapa hapa duniani
 
Wewe zaa tu dada yangu, masuala ya kazi yatajijua mbele ya safari
 
Hapo Tafuta Rafiki yako wa karibu, ufunge naye ndoa Bomani! Mtabaki Date then itakuwa poa
Me sishauri utoe mimba 100%
Hii inamaanisha tunafunga ndoa kwa mkuu wa wilaya ili kusolve ishu ya kazi, lakini mtoto ulee.
 
usitoe aisee.. poteza kazi.. mwenye mali kashikilia.. madhara ya kutembea na mume wa mtu.. hawa waume wa watu wanamilikiwa usiwe unajisanua tu ..
 
SUBIRI TUMBO LIWE KUBWA WAKUPUMZISHE KAZI AF URUDI UPUMZIKE ULEE MWANAO AF UKIZAA UJIPANGE KUANZA KAZI TENA...AKUNA NAMNA NI MATOKEO YA MATENDO YETU
 
Hiyo mimba ni yako Katie..
 
Wewe unapanua panua bila kuangalia siku zako?nahis unategemea upewe hela ya abortion na mume wa mtu eh?
 
Sasa mambo yetu ya nini hapa.ndo nishakupiga chini hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…