Mrudishie uja uzito wakeHeri ya pasaka nyote,
Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.
Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.
Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.
Naomba ushauri wenu wa busara
Jaribu uone huyo mwenzio anahunyahunya tu!Angekuwa kabeba Mimba ya mwanaume wake angekuwa anasherehekea ila ona Sasa anavyohaha!!!mume wa mtu siyo sumu ww Acha hizo mume wa mtu mtam
Naomba namba ya mkeo nimpe deal [emoji12] [emoji12] [emoji12]Sijazima simu makusudi, nipo na familia kwenye mapumziko ya pasaka. Umesahau? Mbona nlikueleza? Ntakupigia j4 tutaliweka vizuri tu usiwe na shaka.
ππππnilikuwa na hasira ila nimejikuta nacheka kwa sauti hadi watoto wamenishangaa!Sijazima simu makusudi, nipo na familia kwenye mapumziko ya pasaka. Umesahau? Mbona nlikueleza? Ntakupigia j4 tutaliweka vizuri tu usiwe na shaka.
Sure,mkewe atakuwa Na ushauri mujarabuKamwambie mke wake kama mnategemea mtoto na mumewe
Mamafive angalia watoto watakuona mwehu atii...ila usiwe na hasira sana, maisha mafupi haya.ππππnilikuwa na hasira ila nimejikuta nacheka kwa sauti hadi watoto wamenishangaa!
Ngoja nikupe ila nawe jiandae kupoeka mshipi.Naomba namba ya mkeo nimpe deal [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Lengo namba moja la kulana utam aka kwichikwichi ni kuzaa na kuijaza dunia....naona unaelekea kutimiza kusudi la Mungu.....hongera sana kwa hilo kumbuka kuepuka kunywa pombe kali, uvutaji wa sigara vitaathiri ukuaji wa mtoto.....kila la kheriHeri ya pasaka nyote,
Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.
Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.
Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.
Naomba ushauri wenu wa busara
Noted mkuu. Ndio maana nikakimbilia humu ili hasira zishuke faster na hili limefanikiwa. Awante kwa uwhauri wa kunitakia mema!Mamafive angalia watoto watakuona mwehu atii...ila usiwe na hasira sana, maisha mafupi haya.
Inaonekana wewe ni mama wa familia, naona umeumizwa sana na yeye kutoka na Mme wa MTU kuliko kumhurumia yeyeDada sijui nikupe pole au nikwambie ukome!!!!
vyovyote iwavyo ukitoa huyo kiumbe atakushika mkono akwambie ''mama twwnde wote''
Jamani heshimuni ndoa za watu, mbona vijana no wengi sana wanatafuta mabinti wa kuzuga nao? maana kama kuolewa hata huyo ulijua kabisa hatakuoa. Tamaa imekuponza.
Mwisho nakuhurumia maana kila mwosha huoshwa. Nawe ukija kuolewa mumeo atatoka nje sana tuu, tena kwa dharau anaweza kukuletea hata mtoto, vema iwe mtoto pekee!
Nakutakia malezi mema ya single parent wewe!!
malipo ni hapa hapa dunianiHeri ya pasaka nyote,
Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.
Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.
Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.
Naomba ushauri wenu wa busara
hata mimi nimecheka sana kumbe mhusika pia yumo humu ndani daaa kazi kweliππππnilikuwa na hasira ila nimejikuta nacheka kwa sauti hadi watoto wamenishangaa!
Ni pm nikupe ushauriHeri ya pasaka nyote,
Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.
Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.
Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.
Naomba ushauri wenu wa busara
'Natafuta' umeshampata yule roommate wa kiume uliekuwa unatafuta?Hivi lazima kusex na mume Wa mtu ? Tena irresponsible
Ona kimenuka kakuachia msala
Unaonaje akawa yule roommate uliekuwa unatafuta?Nimekumis paul