Princessor
Member
- Aug 30, 2015
- 9
- 7
Heri ya pasaka nyote,
Ninaomba ushauri wenu nimetoka na mume wa mtu nimejigundua nimenasa ujauzito wake.
Sasa mbaya zaidi amekubali lakini hasemi kifuatacho ni nini, sasahivi lazima simu zake nisimpate.
Na ikigundulika kazini nitapoteza kazi yangu cause ninafanya kazi kwenye shirika la kidini hairuhusiwi ngono kabla ya ndoa.
Naomba ushauri wenu wa busara