Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

Habari zenu wadau wa JF..
Kwanza dada pole na majanga ya kujitakia(kwa kuwa ulikuwa unajua unachokifanya) lakini pia FAHAMU kuwa gharama ya kucheat kwa mwanamke ni kubwa kuliko ukilinganisha na mwanaume__Dada ukweli ni kuwa you don't respect your husband||you have failed to be submissive to your husband||na umekataa kuongozwa na kumsikiliza mume wako,hivyo i advice you to DIVORCE him kabla ya hiyo dhambi yako ya usaliti HAIJAKUAIBISHA BIG TIME!!!!

Mthseew
 
Habari zenu wadau wa JF..
Kwanza dada pole na majanga ya kujitakia(kwa kuwa ulikuwa unajua unachokifanya) lakini pia FAHAMU kuwa gharama ya kucheat kwa mwanamke ni kubwa kuliko ukilinganisha na mwanaume__Dada ukweli ni kuwa you don't respect your husband||you have failed to be submissive to your husband||na umekataa kuongozwa na kumsikiliza mume wako,hivyo i advice you to DIVORCE him kabla ya hiyo dhambi yako ya usaliti HAIJAKUAIBISHA BIG TIME!!!!

Mthseew
You are telling her this after 7 years😀🤣
 
Swala la kuoa ninaliona kma la kishamba sana , binafsi naona kuoa kwangu itakuwa ngumu mno umri umeenda ila hili swala la kuoa ata kwenye akili halipo kbsa, nikushauri tu, ondoka kwa kwa mumeo urudi kwenu washirikishe wazaz wako ujinga uliofanya , watakua na busara za kumtaka radhi kijna wa watu , ndoa ivunjwe , then mwenye mzgo ajulishwe mjue mtasuka ama kunyoa, pia hakikisheni kma ni mahari au chochote kijna mwenye ndoa arudishiwe , hakikisha hili jambo linafanywa na wazee wa kwenu wenye busara mno ambao kijna mwenye ndoa anawaheshimu.
 
Habari wana JF.

Mimi ni mwanamke niliye kwenye ndoa ya mwaka mmoja na miezi7, kabla ya kuolewa na huyu mume wangu nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja ambae tulipendana na kushibana sana ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukuweza kuoana.

Baada ya kuachana(kwa amani kabisa) ndipo nikampata huyu ambae ni mume wangu sasa, nae(ex) alipata mwanamke akaoa. Baada ya muda wa miezi 7 ya ndoa yangu na ya ex ikiwa na miezi mitatu tulianza tena mawasiliano maana hakuna aliyeweza kumsahau mwenzake, na sio siri sijawahi penda mwanaume kama nilivyompenda ex (i have even his pic in my wallet nikimmiss naicheki najikuta tu naloa)

Kwahiyo tukawa tunakumbushiana ila baadae tukanogewa ikawa kwa wiki lazima tuonane hata mara tatu, and to be honest he is good on bed than my husband, yaani anajua kunikuna haswaaa.

Sasa nina ujauzito wa miezi mitatu na ktk kupiga mahesabu nikagundua ni ya ex, hivyo nikaamua kukata mawasiliano nae kabisa, mume wangu alipogundua am pregnant alifurahi kupita maelezo maana awali nilimuambia i'll hv a baby after 1year of marriage, so ikawa kudekezwa haswaa.

Ex akawa akinisumbua sn nikamwambia am pregnant with my huby's baby hivyo he have to stay away from me, hakuacha kunitafuta akawa akipiga sana simu,na msg za kuomba tuonane tuongee, nikamwambia we hv nothing to talk of.

Sasa kilichonifanya nije humu ni ujumbe alionitumia jana unaonifanya hata usingizi nikose, ujumbe unasema hivi "natambua hiyo mimba ni yangu na siko tayari mwanangu alelewe na mwanaume mwingine, so lets meet and talk lasivyo usijenilaumu kwa maamuzi nitakayochukua"

Nilikuwa nikipika nikajikuta natetemeka na kuangusha simu huku jasho likinitoka nikashindwa hata kuendelea kupika, mume wangu akaniuliza nini shida nikamjibu sijisikii vizuri, akaniambia nikapumzike akaingia yeye kupika, yaani sio siri nimechanganyikiwa sijui cha kufanya.

Please msinijaji sana naomba ushauri utakaonisaidia tafadhali.
Kumbe kataa ndoa gang ni ya muda mrefu hivi 😢😢
 
Bila ya kupepesa macho wewe unapaswa kupigwa mawe na wanawake wenzako wanaitunza ndoa zao mpaka ufe...
 
Back
Top Bottom