Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

Habari wana JF.

Mimi ni mwanamke niliye kwenye ndoa ya mwaka mmoja na miezi7, kabla ya kuolewa na huyu mume wangu nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja ambae tulipendana na kushibana sana ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukuweza kuoana.

Baada ya kuachana(kwa amani kabisa) ndipo nikampata huyu ambae ni mume wangu sasa, nae(ex) alipata mwanamke akaoa. Baada ya muda wa miezi 7 ya ndoa yangu na ya ex ikiwa na miezi mitatu tulianza tena mawasiliano maana hakuna aliyeweza kumsahau mwenzake, na sio siri sijawahi penda mwanaume kama nilivyompenda ex (i have even his pic in my wallet nikimmiss naicheki najikuta tu naloa)

Kwahiyo tukawa tunakumbushiana ila baadae tukanogewa ikawa kwa wiki lazima tuonane hata mara tatu, and to be honest he is good on bed than my husband, yaani anajua kunikuna haswaaa.

Sasa nina ujauzito wa miezi mitatu na ktk kupiga mahesabu nikagundua ni ya ex, hivyo nikaamua kukata mawasiliano nae kabisa, mume wangu alipogundua am pregnant alifurahi kupita maelezo maana awali nilimuambia i'll hv a baby after 1year of marriage, so ikawa kudekezwa haswaa.

Ex akawa akinisumbua sn nikamwambia am pregnant with my huby's baby hivyo he have to stay away from me, hakuacha kunitafuta akawa akipiga sana simu,na msg za kuomba tuonane tuongee, nikamwambia we hv nothing to talk of.

Sasa kilichonifanya nije humu ni ujumbe alionitumia jana unaonifanya hata usingizi nikose, ujumbe unasema hivi "natambua hiyo mimba ni yangu na siko tayari mwanangu alelewe na mwanaume mwingine, so lets meet and talk lasivyo usijenilaumu kwa maamuzi nitakayochukua"

Nilikuwa nikipika nikajikuta natetemeka na kuangusha simu huku jasho likinitoka nikashindwa hata kuendelea kupika, mume wangu akaniuliza nini shida nikamjibu sijisikii vizuri, akaniambia nikapumzike akaingia yeye kupika, yaani sio siri nimechanganyikiwa sijui cha kufanya.

Please msinijaji sana naomba ushauri utakaonisaidia tafadhali.
Ki ukweli kabisa nyie ndo sababu kubwa ya kufanya wanaume wakatae ndoa,,kwa mifano kama hii. Kama mmlikuwa mnapenda kiasi hicho kwa nini hamkuoana maamuzi ya watu wawili yanaenda kuumiza maelfu ya watu huko nje. Daaah Mungu atusaidie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki ukweli kabisa katika maisha yangu sijawahi kumpa nafasi x hata mara moja na nilishaaapa kamwe hata kama duniani wataisha watu wote tubaki wawili.Never
.kama mtu hakuona thamani at the first place kamwe hawezi kuja kuiona. Why umpe nafasi mtu kama huyo,,,tena mbaya zaidi umepata mume ambaye anakupenda. Angekuwa hakupendi anakunyanyasa kibinadamu ulihitaji faraja lkn hukuwa na sababu yoyote. Namuonea huruma huyo mwanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifikiri mwanamke au mwanamme akiamua kuingia katika ndoa "baada ya kukutana na watu mbalimbali " huwa anabaki na yule aliyempenda na kumkubali kuliko wengine wote hapo Kuna hatari ya kuharibu ndoa mbili yako Naya x wako.
Ongea na mumeo muelezee yote kubaliana na consequences ....
 
Habari wana JF.

Mimi ni mwanamke niliye kwenye ndoa ya mwaka mmoja na miezi7, kabla ya kuolewa na huyu mume wangu nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja ambae tulipendana na kushibana sana ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukuweza kuoana.

Baada ya kuachana(kwa amani kabisa) ndipo nikampata huyu ambae ni mume wangu sasa, nae(ex) alipata mwanamke akaoa. Baada ya muda wa miezi 7 ya ndoa yangu na ya ex ikiwa na miezi mitatu tulianza tena mawasiliano maana hakuna aliyeweza kumsahau mwenzake, na sio siri sijawahi penda mwanaume kama nilivyompenda ex (i have even his pic in my wallet nikimmiss naicheki najikuta tu naloa)

Kwahiyo tukawa tunakumbushiana ila baadae tukanogewa ikawa kwa wiki lazima tuonane hata mara tatu, and to be honest he is good on bed than my husband, yaani anajua kunikuna haswaaa.

Sasa nina ujauzito wa miezi mitatu na ktk kupiga mahesabu nikagundua ni ya ex, hivyo nikaamua kukata mawasiliano nae kabisa, mume wangu alipogundua am pregnant alifurahi kupita maelezo maana awali nilimuambia i'll hv a baby after 1year of marriage, so ikawa kudekezwa haswaa.

Ex akawa akinisumbua sn nikamwambia am pregnant with my huby's baby hivyo he have to stay away from me, hakuacha kunitafuta akawa akipiga sana simu,na msg za kuomba tuonane tuongee, nikamwambia we hv nothing to talk of.

Sasa kilichonifanya nije humu ni ujumbe alionitumia jana unaonifanya hata usingizi nikose, ujumbe unasema hivi "natambua hiyo mimba ni yangu na siko tayari mwanangu alelewe na mwanaume mwingine, so lets meet and talk lasivyo usijenilaumu kwa maamuzi nitakayochukua"

Nilikuwa nikipika nikajikuta natetemeka na kuangusha simu huku jasho likinitoka nikashindwa hata kuendelea kupika, mume wangu akaniuliza nini shida nikamjibu sijisikii vizuri, akaniambia nikapumzike akaingia yeye kupika, yaani sio siri nimechanganyikiwa sijui cha kufanya.

Please msinijaji sana naomba ushauri utakaonisaidia tafadhali.

huu mwandiko umekaa kiume sana
 
Wewe na huyo mchepuko wako wote wapuuzi. Una mume halafu unamwambia mchepuko eti unamimba yake na yeye anafurahi. Kwa akili ya kawaida wewe ni mke halali wa jamaa unafikiri atafanya nini ambacho matokeo hayatakuwa mabaya kwake huyo mchepuko wako. Unless utuambie hiyo ni ndoa ya mchongo kama ni ndoa halali mchepuko wako mjinga atapata matokeo mabaya sana kama kuna siku atakuja kuropoka eti wewe una mimba yake
 
Uko hivi mnapokutana kwenye malavidavi kila mmoja hujitahidi kujionyesha kuwa ni mwema sana hata mnapoelezana mapungufu yenu na kule mlikoteleza huko nyuma na mahusiano yaliyopita hamuwi wakweli sana
Kwahiyo unahitajika muda wa kutosha kuweza kuyajua yale ambayo hukuambiwa kuna mengine utakuja kuyajua ndani ya ndoa lakini at least take about three good years kabla hamjaamua kuingia kwenye mkataba wa ndoa
Three years , at the end unagundua huo siyo sahahi, unatafuta mwingine mnakaa miaka 3, ukiwa unachunguza ??

Nazani mda siyo kigezo cha msingi ni kuangalia vipaumbele tuu
 
Hapa ndo nmeamini mwanamke akikupenda waga wapi tayr kurisk Sana AWA viumbe...imagen kaachwa na msela kaenda kuolewa Ila jamaa karudi mlango wa nyuma kapewa tunda adi mimba.
#Dada uko sahihi sababu watetea hisia zako na issue za mapenzi(spiritual bond) zmekaa kiroho Zaid though watu tunachukulia poa..

#Shida Ni kwa huyo jamaa ako pale utakapojaribu kumuweka wazi,ndo mwanzo wa kutangatanga katika maisha yako:
##Ushauri:
Kaa na huyo ex wako mweleze hatari na athari itakayotokea kwa maamuzi yoyote atakayochukua.
Ikitokea akawa tayar kubeba risk zzte kaa na mama ako mweleze ukweli na maamuzi yako binafsi,naaminii mzazi hasa mama atakupa mwanga zaidi.

Chamwisho Kama utafikia hatua ya kumweleza hili swala kwa mumeo kwanza hakikishA umevaa haiba ya kike,I mean onyesha upo chini Sana kwa mwanaume wako,onyesha kujutia makosa ako,onyesha kuhtaji kusamehewa..pole Sana

Ni dm kwa ushauri zaidi.but
All is fair in love en war..
 
Dada uko sahihi sababu watetea hisia zako na issue za mapenzi(spiritual bond) zmekaa kiroho Zaid though watu tunachukulia poa..

Shida Ni kwa huyo jamaa ako pale utakapojaribu kumuweka wazi,ndo mwanzo wa kutangatanga katika maisha yako:
Ushauri:
Kaa na huyo ex wako mweleze hatari na athari itakayotokea kwa maamuzi yoyote atakayochukua.
Ikitokea akawa tayar kubeba risk zzte kaa na mama ako mweleze ukweli na maamuzi yako binafsi,naaminii mzazi hasa mama atakupa mwanga zaidi.

Chamwisho Kama utafikia hatua ya kumweleza hili swala kwa mumeo kwanza hakikishA umevaa haiba ya kike,I mean onyesha upo chini Sana kwa mwanaume wako,onyesha kujutia makosa ako,onyesha kuhtaji kusamehewa..pole Sana

Ni dm kwa ushauri zaidi.but
All is fair in love en war..
mtoto saivi ana miaka nane nadhani 🤔
 
Huyu mwenye uzi kama yupo atupe mrejesho maana miaka 8 sasa alikuja kuomba ushauri.. atueleze maamuzi gani alifanya na ikawaje
 
Hapa ndo nmeamini mwanamke akikupenda waga wapi tayr kurisk Sana AWA viumbe...imagen kaachwa na msela kaenda kuolewa Ila jamaa karudi mlango wa nyuma kapewa tunda adi mimba.
#Dada uko sahihi sababu watetea hisia zako na issue za mapenzi(spiritual bond) zmekaa kiroho Zaid though watu tunachukulia poa..

#Shida Ni kwa huyo jamaa ako pale utakapojaribu kumuweka wazi,ndo mwanzo wa kutangatanga katika maisha yako:
##Ushauri:
Kaa na huyo ex wako mweleze hatari na athari itakayotokea kwa maamuzi yoyote atakayochukua.
Ikitokea akawa tayar kubeba risk zzte kaa na mama ako mweleze ukweli na maamuzi yako binafsi,naaminii mzazi hasa mama atakupa mwanga zaidi.

Chamwisho Kama utafikia hatua ya kumweleza hili swala kwa mumeo kwanza hakikishA umevaa haiba ya kike,I mean onyesha upo chini Sana kwa mwanaume wako,onyesha kujutia makosa ako,onyesha kuhtaji kusamehewa..pole Sana

Ni dm kwa ushauri zaidi.but
All is fair in love en war..
Huu ushauri ni kwa ajili ya 2015 ama ni wa sasa?
 
Huyu mwenye uzi kama yupo atupe mrejesho maana miaka 8 sasa alikuja kuomba ushauri.. atueleze maamuzi gani alifanya na ikawaje
Since 2018 hajawai kurudi humu kwa hiyo Id yake ya Anonymus labda ako na nyingine anaweza kutupea feedback
 
"Nikitazama picha yake nalowa"...what an imbecile!
Unalala na ex wako na unasifia kabisa as if unachofanya ni sawa! Mnadhalilisha walio ndoani.
Force of attraction,very powerful than imagination
 
Back
Top Bottom