manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,323
Tupe experience yako ili dogo apate auheni kuwa ndogo sio tatizojf oyeeeeeeeeeeeeee
sijui ningekuwa nachekea wapi

Tupe experience yako ili dogo apate auheni kuwa ndogo sio tatizo
Asante kwa jibu murua, dogo kuwa na amani. Ila mi nina shangaa, why dushe ikiwa ndogo ndio watu wanalalamika, mbona mbona mwili ukiwa mdogo hawalalamiki?ndogo sio tatizo
Mkuu kajarb Kwa mwnmke unaez kuta uyo demu bakuli Lake n ndogo inafiti kibamia chako so ucogopeyani hapo ndo imesimama mkuu... nch 4.. dahh. ucombe yakukute mkuu..utajihic nuksi..
acha kumvunja moyo....jiamini ndugu hiyo inatosha kabisa uwe na mautundu tu sio ile ya ingiza toa naamini atafurahiMkuu embu acha kummpa matumaini hewa mwenzako. Je wajua ya kuwa an average Africa normal male of 20 yrs or above, wastani wa uume huwa ni sentimita 16( sawa na nchi 6). Sasa jamaa yeye amesema ana inchi 4(sawaa na sentimita 10) , ambao ni sawa na urefu wa uume wa kijana ambaye bado haja balehe.., halafu bado wamtia moyo mwenzako!!!
mi napenda utundu....mwingine ana likubwa hajui kutumia inaishia kukutanua tuHivi akina dada wanapenda kubwa au ndogo...
Huyu Bwana mdogo bila shaka unaweza kumpa darasa. kwenye utundu...ili afaidi maana yupo psychologically tortured!!mi napenda utundu....mwingine ana likubwa hajui kutumia inaishia kukutanua tu
Umenifanya nami nipime yanguu duu..alhamdulilahumenifanya na mm nipime yangu..
"big fellow" is not bad!
if you cant have what you want, help what you become!
Amakweli mungu hakunyimi vyoote na haupi vyoote pia. Mimi ni kijana wa miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly,maji ya kunde, mrefu wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu, mstaarabu kutokana na sifa nilizo kuwa nazo imepelejea kupendwa sana na wanawake.
Wengine hupigana na kupelekana hadi polisi kwajili yangu pasipo mimi kuwa na mahusiano nao yani ni wivu tu na nimetongozwa na wanawake tangu nikiwa na miaka 15 na wengine ni wakubwa kwangu na wengine wanakuja hadi mbele ya mama na kueleza hisia zao kwangu ila mimi sina mpango nao kabisa yani.
Hii inapelekea hadi mama yangu kupoteza imani na mimi kwa kuhisi huenda mwanae ni shoga ama sifanyi kazi kama dume.Ila mimi sio kama siwatamani au siwataki ila nina tatizo moja linalonifanya mpaka nishindwe kujielewa wakati mwingine najipiga ukutani kwa hasira, but nashindwa nifanye nini.
Ninawaza sijui nimwambie mama yangu au baba yangu ila nawaza nitaanza je kuwaambia tatizo langu ikiwa baba ni mkali sana na mda mwingine hataki hata salamu na katika familia walio nitangulia kuzaliwa ni wanawake wote daaaah.! inaumasana ninapo muona mamayangu akitoa chozi pindi akiwa na waschana Wanaokuja mbele yake kwaajili yangu.
Pia hii imenifanya nishindwe hata kutembea mtaani kwa kuhisiwa mimi ni shoga ila tatizo langu sio kabisa yani daah..! Nawaza nitafanya vipi mapenzi na msichana ikiwa mimi nina UUME MDOGO saana nilipo upima kwa rula ni wa nchi 4 so hivi msichana yeyote anaweza kuhisi uume huu kweli daaah..
Why mimi waungwana naombeni msaada ni nini nifanye nimwambie mama akamueleze baba labda atanisaidia kupata dawa au kama kuna dawa ni wapi napata na ni ipi coz naona ninakoelekea sio kabisa.
Naombeni msaada naombeni
Wee nani kamwambia kumridhisha mwanamke na kumfksha ni mpk uwe na la size hii..Amakweli mungu hakunyimi vyoote na haupi vyoote pia. Mimi ni kijana wa miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly,maji ya kunde, mrefu wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu, mstaarabu kutokana na sifa nilizo kuwa nazo imepelejea kupendwa sana na wanawake.
Wengine hupigana na kupelekana hadi polisi kwajili yangu pasipo mimi kuwa na mahusiano nao yani ni wivu tu na nimetongozwa na wanawake tangu nikiwa na miaka 15 na wengine ni wakubwa kwangu na wengine wanakuja hadi mbele ya mama na kueleza hisia zao kwangu ila mimi sina mpango nao kabisa yani.
Hii inapelekea hadi mama yangu kupoteza imani na mimi kwa kuhisi huenda mwanae ni shoga ama sifanyi kazi kama dume.Ila mimi sio kama siwatamani au siwataki ila nina tatizo moja linalonifanya mpaka nishindwe kujielewa wakati mwingine najipiga ukutani kwa hasira, but nashindwa nifanye nini.
Ninawaza sijui nimwambie mama yangu au baba yangu ila nawaza nitaanza je kuwaambia tatizo langu ikiwa baba ni mkali sana na mda mwingine hataki hata salamu na katika familia walio nitangulia kuzaliwa ni wanawake wote daaaah.! inaumasana ninapo muona mamayangu akitoa chozi pindi akiwa na waschana Wanaokuja mbele yake kwaajili yangu.
Pia hii imenifanya nishindwe hata kutembea mtaani kwa kuhisiwa mimi ni shoga ila tatizo langu sio kabisa yani daah..!
Nawaza nitafanya vipi mapenzi na msichana ikiwa mimi nina UUME MDOGO saana nilipo upima kwa rula ni wa nchi 4 so hivi msichana yeyote anaweza kuhisi uume huu kweli daaah..
Why mimi waungwana naombeni msaada ni nini nifanye nimwambie mama akamueleze baba labda atanisaidia kupata dawa au kama kuna dawa ni wapi napata na ni ipi coz naona ninakoelekea sio kabisa.
Naombeni msaada naombeni.
?
Point nzuriUsiogope, JF ni kila kitu. Mimi mwenyewe nilielewa maumbile yangu vizuri katika mchango wa mdau mmoja aliyesema, kuna aina mbili za uume, moja grower na ya pili shower(kama sijakosea majina maana ni tangu mwaka 2014). Na mpaka sasa nimeshaamini, haijalishi una maumbile ya namna gani, ukitulia, Mungu atakuletea your perfect match. Na pia kama huwa inasimama, fikiria hivi, Kama Mungu angeona ni ndogo sana, kwamba hakuna atakayeendana na size yako, kwa nini angekupa nguvu za kiume? Kama huwa inasimama, jikubali na ujue, kuna siku utampata atakayelidhika na kidudu chako.
punguza mbwembwe bwana mdogo, komaa sana kutomba, io kitu haina saizi hata kidole cha mwisho cha mkono kinawatosha.Amakweli mungu hakunyimi vyoote na haupi vyoote pia. Mimi ni kijana wa miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly,maji ya kunde, mrefu wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu, mstaarabu kutokana na sifa nilizo kuwa nazo imepelejea kupendwa sana na wanawake.