Ushauri: Nina maumbile madogo ya uume

Ushauri: Nina maumbile madogo ya uume

aiseee intosha kumridhisha mtu we ondoa hali uliyonayo kichwani ....af tumia mbinu sasa sio kuchomeka tu..una viungo v ingi vya kumdatishamwanamke..tulia jipe imani na jiamini...bila kusahau kusugua kwa kichwa cha mb* ...hizi zote ni kablahujagegeda...usiwe desperate sana usijiumize......anza upya kamata bintimmoja mpe itu....hiyo hiyo 4 itamkojoza
 
average-penis-size.jpg
 
teh teh! watu sikuizi wanatafuta jinsi ya kukojoza tatizo vigezo na masharti vimezingatiwa
 
Pole,ila ndo uanze kumbatoo K za aina mbalimbali kataongezeka hadi inchi 1 umri wako bado unaruhusu
 
wd mb*** ndogo km hzo zinataftwa balaa itunze ni dhahabu we vipi????? Ukubwa wa PUA c wing wa makamasi na ukubwa mb***** si wingi wa hekima na busara!!!!. viungo alivoumba MUNGU huna mamlaka ya kuvilekebisha la cvo jiandae tatizo juu ya tatizo,,,, alafu huo uhandsome nakutOngozwa na
wadada mbona umechomekea kwan tumekuuliza????
 
team kibamia ??duh pole mkuu nasikia papai ukichanjia kitukina umukaaa??kuna jamaa anatibu hila masharti utaweza??
 
Average man's penis size is 3.5 inches, ikiwa flaccid (maana yake ikiwa haijadinda). Ikidinda it's 5.1 inches (12cm). Meaning, when ikidinda, it increases in size of 1.8 inches. Unavyosema that yako ikidinda, iko 4 inches. Means, ikisinya it's 2.2 inches ( 5cm).

Is it????
 
Mtoto mkubwa lakini uume mdogo mmhh haya badilisha jina uwe mtoto mdogo. Vibamia ndio mwendo wa mujini kwasasa
 
Jenga kujiamini wewee. Hata bastola inauwa (siyo riffle tuu). Issue nikujifunza kuitumia vizuri

Nakumbuka me nilianza kujifunza kuitumia nikiwa na miaka 4 tu.....sasa yeye ana zaidi ya miaka 20.
 
Embu acha upumbavu,nchi 4 ni kubwa sana ungekua na nchi 2 hapo ndio ungelalamika.Jiamini, jifunze mautundu ya kumfanyia mwanamke then piga game la kibabe utaona kama utapigiwa salute.
 
Dogo;
Pole sana ila ningetamani kama kwanza ungejiamini. Kwanza, cha muhimu umesema huwa inaamka (inadisa). Hilo mbona jembe? Tatizo lako ni kutokujiamini tuu. Nnani kakuambia kuwa kila mwanamke ana k ya kina kireefu?? Kama ilivyo kwa mwanamume kuwa ulipata hiyo aina yako, jua pia kwamba hata wanawake nao kuna wenye vifinyu (tight) sana na kuna wenye mapango mareefu sana.
Kitu kinachotakiwa kwa dume ni uhakika na ujasiri. Usiwe na haraka kumwaga, tulizana uweze kujizuia kwa dakika zisizo pungua 10 - 15 kila raundi. Halafu, jitahidi kumzaba (Kufyata) kama raundi 4 hivi bila kumruhusu alale.
Hata kama ni kifupi na chembamba ka njiti, toboa nacho tu mkuu. Bora usihofu kika sinzia. Watakusema hapo kijijini kuwa weye ni moto wa kuotea mbali.
Ukiendelea kuwaogopa hao wasichana, soon kweli wataanza kukuletea vijana wa kazi kuja kuomba mtonyo kwako. Na kwa mawazo yako haya ya kujikatia tamaa, utaona kuwa ngoja nimwadhibu mamangu niolewe akiona.
Umewahi kusikia "Serengeti boys". Sio wachezaji bali ni vitoto vidogo vinavyo waridhisha majimama yaliyo kubuhu. Yale ambayo hakuna tena dume mwenye akili anaangalia huko. Mbona hivi vitoto vinawaweza hayo majimama weye kwa nini usiweze?
Changamkia mdada wa kwanza kupitia karibu na weye. Usianze na majimama usije ogopa kina. Anza na vibinti vidogo ambavyo havijazoelea magogo na mihogo ya Giang'ombe. Usiache kuuleta mrejesho
 
Nakushauri usije oa mkuu.Watakuchapia mke wako
Kama inch 6 ndiyo solution ya kutokuchapiwa mbona tunasikia ndoa nyingi wanachapiwa wenye inch 7?! utundu kitandani ndiyo kila kitu
 
Ila wewe dogo kweli ronya ronya,yaani kweli unawaza ishu kama hiyo umwambie mama yako ndio afikishe ujumbe kwa dingi!!? Hata kama dingi mzinguaji ina maana wewe na familia yako mnaishi kisiwani peke yenu?.
 
Back
Top Bottom