PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,110
HahahaMm naamini mwanamke mwenye akili zake timamu na mwenye maadili hawezi kuijua au kujiunga jamiiforums.na hawaipend kwakua haina features kama za IG za kumuwezesha kupost picha......hawa wanawake waliopo huku wapo kwenye mission za mawindo