Ushauri nimuoe huyu singo maza

🚶‍♀️🚶‍♀️🚶🚶‍♀️🚶‍♀ ⚰️🚶‍♂️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶🚶‍♂️🚶‍♀️🚶
 
Kama jina lako lilivyo Think2 nadhani linamaanisha 'think twice'.

Haya kazi ni kwako maana kila aliyejaribu kuoa single maza ameishia kulialia mwisho wa siku.

Mwanamke hazai na mwanaume asiyempenda hilo ishi nalo mkuu. Ni suala la muda tu mshikaji ataendelea kummega.
 
Kijana kunywa konyagi akili akikue Sawa kidogo.

Achana na huo ujinga kabisa.
 

View: https://vt.tiktok.com/ZSq2V9nMq/
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…