Nashukuru mkuu ila nataka ki2 tangible..anastahili upendo wa dhati.... huo tu...
Hakuna kitu tangible unachoweza kumpa ambacho sio jukumu lako, hivyo hakitaqualify kuwa zawadi.Nashukuru mkuu ila nataka ki2 tangible..
Nitazingatia haya maana najisikia nina deni kubwa kwake.Mpende, mthamini, uwe muaminifu na kumjali. Mnunulie maua na chocolate na umwambie jinsi gani unamshukuru Mungu kwa kukupa mke mzuri in every sense kama yeye. Muahidi uaminifu na upendo wako siku zote za maisha yako. Huu ni ushauri toka kwa MWANAMKE
Mpendwa acha hizo....Muda wote huo mmekuwa kwenye mahusiano/ndoa ila hujui zawadi ya kumpa mkeo? Unafeli sana, Chief.
Mkuu, kwa upendo anaonipa huwa nataka nimfanyie ki2 kikubwa ila kipato ndo tatizo nimeishia kumnunulia simu na nguo za kawaida na mwakajana nilimtoa out mara moja.Muda wote huo mmekuwa kwenye mahusiano/ndoa ila hujui zawadi ya kumpa mkeo? Unafeli sana, Chief.
Haswaa.anastahili upendo wa dhati.... huo tu...
Aisee sio kuishi kwa imani ni kweli kabisa. Mimi nataka kumzawadia kwa miaka hii yote aliyonionyesha upenda wa dhati.Jidanganye tu.. hata Yesu alimpenda Yuda lakini still alimsaliti... ila uzuri unaishi kwa imani.
Nimekuwa nikitenga pesa kidogo kidogo mpaka sasa nina laki 1 na elfu 70. Ndo nimezitenga kwa ajili ya zawadiKwanza hongera [emoji122][emoji122][emoji122],pili wewe ndo unamfahamu mkeo vizuri na utakua unajua anapenda kitu gani au kitu gani huwa anatamani kuwa nacho...mnunulie kitu anachopenda...au una budget ya bei gani tukusaidie zawadi kumchagulia.
Duuh... hayo makitu naonaga tu kwenye muvi.Mnunulie Range