Wakuu habari za asubuhi.
Naombeni sana ushauri wenu kidogo leo niliamka mapema kufuatilia yaliyotokea Dunia bahati mbaya nilikuwa nimeunganisha simu yangu na Bluetooth ya Spika kujiburudisha na mziki kidogo na wife nimemuacha kitandani kalala.
Nilichokosea wakati nimetoka chumbani mlango sikufunga nikaketi sebuleni. Kilichotokea katikati ya mziki huku na peruzi mitandaoni ikaingia voice note ya mchepuko sijui ni pepo gani hili nikaicheza.
Hapa nilipo natafuta safari ya kuondoka ila bahati mbaya jana nilisema sitoki kabisa leo nyumbani. Naombeni ushauri kutatua hili?