The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 828
- 2,110
Mlevi mmoja alisikika akisema
Unaolea kijiji hapo, hawajui kukataa hao. Hadi wajomba wanakula mzigo. Hawana tofauti na wanyaturu kasoro wenyewe hao ni weusi.
Haaa haaa haaa mkuu walevu nyie mna akili sana mjueHuwa mnatusingizia kuna maneno mengine huwa hatusemi sisi
Ila hayo madai yako yana kaukweli nilijichimbiaga Moro kwa miezi kadhaa nimewasoma wengi tabia zao
Wanaitwa kuku wa kienyeji pamoja na waluguru
irrelevantJiandaye kufa/kuachika baada ya kupata watoto 3. Halafu yeye atakuwa tajiri sana baada ya wewe kuachwa ama kupumzika kwa amani. Refer to mama wa kisulisuli.
hizi allegations ni nzito sana. Unaweza kuzithibitisha before the court of law ?Mlevi mmoja alisikika akisema
Unaolea kijiji hapo, hawajui kukataa hao. Hadi wajomba wanakula mzigo. Hawana tofauti na wanyaturu kasoro wenyewe hao ni weusi.
Yes mkuu, nipo tayari au we nae ni mpogoro wa USA?hizi allegations ni nzito sana. Unaweza kuzithibitisha before the court of law ?
mimi mpogoro wa IraguaYes mkuu, nipo tayari au we nae ni mpogoro wa USA?
Haa haa haa thats why. Anyway me mtani wako hapa Moro so nikikuta jambo la mpogoro lazima nitie neno.mimi mpogoro wa Iragua
sawa mzee baba. Karibu tuandae mashamba ya mpungaHaa haa haa thats why. Anyway me mtani wako hapa Moro so nikikuta jambo la mpogoro lazima nitie neno.
mimi mpogoro wa Iragua
Dah ,aisee..kumbe hilo kabila ndo lilivyo eh? AhahHuwa mnatusingizia kuna maneno mengine huwa hatusemi sisi
Ila hayo madai yako yana kaukweli nilijichimbiaga Moro kwa miezi kadhaa nimewasoma wengi tabia zao
Wanaitwa kuku wa kienyeji pamoja na waluguru
Uje Iragua tuandae mashamba ya mpunga mzee wanguMm wa Mtimbila
ni hatari sio kidogoDah ,aisee..kumbe hilo kabila ndo lilivyo eh? Ahah