Mkuu pole sana kwa matatizo hayo. Tafadhali unaweza nisaidia jina la hyo application na hatua kwa hatua jinsi ya kuinstall na yeye asiione?tafadhali msaada kwani mimi wangu nilishawahi mkamata akanisaliti nikamsamehe but sina hakika kama aliacha. Tafadhali nisaidieMkuu nitakutumia PM
Mkuu njoo pm unielezee kwa ubora kabisa haka ka programu nimeona nimsaada, unweza kuta mke wako unamuamini asilimia zote kumbe on your back ni shida,Moja, Nashukuru kwa ushauri. Mbili, nimeshamtoa moyoni na nimemuacha kwa amani tu ila yeye ndo anatishia kujidhuru. Tatu nitakujibu PM