Ushauri: Nimemtia mke wa mtu mimba

Ushauri: Nimemtia mke wa mtu mimba

Badilishaneni, naamanisha wewe umuoe huyo mke wa mtu uliyempa mimba halafu mke wako aolewe na mume wa huyo mke wa mtu uliyempa mimba. simple like that
 
Hujui mke wa mtu sumu? Subiri yakukute. Wanawake kibao hawana waume wewe umekomaa na mke anayehudumiwa? Pole kajipange ushirikishe akili
 
Unagekuja hapa kuomba ushauri kabla hujamtongoza haya yote yasingetokea.
 
Habari jf!
Naombeni ushauri jamani hapa nilipo nimempa make wa MTU mimba, na Mimi mwenyewe nafamilia yangu! Amesema nikiikana atakuja kwangu aishi, sass hapa nashindwa nifanyeje nimemwambia atoe hataki. Naombeni ushauri jamani!

Ansateni.
Topic zingine bwana....
Sasa uhakika unaupata wapi mpaka ukurupuke kuomba ushauri...
Mimba kaibeba yeye... Ina maana mumewe hutafunagi papuchi ya mkewe..?

Eti ukikana anakuja kuishi kwako.. Mikwara mingine bwana

Kamsikilize MWANA FA huenda ni kiki za kupigwa mizinga
 
Kwanza mkuu Hongera sana

Kwa umahili ulioonesha
What comes around goes around

Hata wewe mke wako atatiwa mimba na jamaa mwingine
Na kibaya hutojua utalea mtoto asie wako
 
Poa mwambie na mkeo nae aende kwa mume wa uliyemtia mimba ili iwe zigzag kama jina lako..
 
Habari jf!
Naombeni ushauri jamani hapa nilipo nimempa make wa MTU mimba, na Mimi mwenyewe nafamilia yangu! Amesema nikiikana atakuja kwangu aishi, sass hapa nashindwa nifanyeje nimemwambia atoe hataki. Naombeni ushauri jamani!

Ansateni.
Na ww kampe mme wake tigo
 
Sawa kaka, kwa maelezo yako wewe unayo mimba then umeanda kumpa mke wa mtu mwingine sasa kwanini usimwambie akurudishie mimba yako?
 
UMEMUTIA eeh?

Haya neda kajifunze kwanza Kiswahili

Then uje nikuelekeze jinsi ya kutoa

teh !!
siyo akajifunze kiswahili, waha ndio wanavyoongea. huyu atakuwa ni muha wa nguruka, ngoja wampe discipline kwanza
 
Back
Top Bottom