Ushauri: Nimemtia mke wa mtu mimba

Ushauri: Nimemtia mke wa mtu mimba

siyo akajifunze kiswahili, waha ndio wanavyoongea. huyu atakuwa ni muha wa nguruka, ngoja wampe discipline kwanza


Una roho mbaya kama sio mzawa wa jf!

ilaa mtu hata kiswahili hukijui vyema halafu unaenda pekupeku

Njia za kutembea peku zinafahamika

sasa yeyey anatembea peku popote

ngoja azisome herufi kwanza!!

Na akitoa hiyo mimba wanajf tumshtaki kwa uuaji



Watu tunatafuta mimba yeye anaogopa mimba!!
 
Aisee, yani wewe ni mume wa mtu, and then mke wa mtu, kwani wakati mnafanya hamkujua kuwa kuna possibility ya kupeana mimba? Why msingetumia kinga jamani, khaaa i can imagine mumewe ajue kuwa mkewe alikuwa analiwa nje tena bila kinga mpk kufikia hatua ya kupewa mimba, mume/mke anauma jamani, nyie acheni tu. Ila i can tell you, hiyo mimba ya huyo mwanamke sio yako, maana kama mtu ameolewa hawezi muacha mume wake akaja kuishi na wewe ilihali anajua kabisa una mke, huyo anataka ukubali kuwa mimba niyako ili apate mahitaji yake toka kwako. Atakuwa anakutishia kila siku na itakuwa ni njia moja wapo ya yeye kupata kipato toka kwako. Kama vipi mwambie aje muishi nae amuache mumewe uone kama atakubali, hakubali ng'o! Huyo anataka kukuchuna, ila na nyie mkomage khaaaaa, mkeo hakutoshi mpk uchukue mke wa mtu, aaarrggggggg
 
Nitaomba usiku na mchana , Mungu akufundishe na hilo funzo kila mtu aone ili iwe mfano kwa wengine. Hili funzo Mungu mwenyewe achague atakufunzaje na sio mwanadamu.
 
a3d2d7c6927a2984f383529e39c7caee.jpg
7fe712bcf17bd3d53a996545da39e71e.jpg
 
Kazi ipo ina watuaminisha kuwa ni mzinifu
 
Ukiona hivyo, huyo mke wa mtu amechoka kuishi na mumewe, vinginevyo angeweza kutumia mbinu wazitumiazo wengi kutafuta suluhu.

Jiandae kupokea mke wa pili.
 
Siku hizi mtu akikaa kituoni kusubiri daladala likiwa linachelewa anawaza aanzishe topic JF, bure kabisa yaani.
 
hahaha hivi hata mwendokasi linachelewa?
Yanachelewa kaka, sasa mtu akiboreka kituoni hana hela ya kununua karanga anadhani JF wote watoto wenzake anakurupua litopiki halina mbele wala nyuma
 
Back
Top Bottom