Umejuaje kama yako?Habari jf!
Naombeni ushauri jamani hapa nilipo nimempa make wa MTU mimba, na Mimi mwenyewe nafamilia yangu! Amesema nikiikana atakuja kwangu aishi, sass hapa nashindwa nifanyeje nimemwambia atoe hataki. Naombeni ushauri jamani!
Ansateni.