T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,107
- 30,529
Za kwangu nzuri sana tu mkuusalama za kwako?
Za kwangu nzuri sana tu mkuusalama za kwako?
Ni bora umwambie ukweli binamu yako na wewe sasa umuoe huyu dadaWapendwa!
Mchumba wa binamu yangu alihamishiwa Dar kikazi kutoka mkoa fulani hapa Tz. Kwa kuwa nina nafasi ya kutosha nyumbani kwangu aliponiomba kuja kuishi hapa kwa miezi kadhaa wakati anajipanga sikuwa na hiyana.
Amefika kwangu mwezi wa 11 ilipofika January tukaanza kufanya ngono, sasa wiki iliyopita amenionyesha cheti cha hospitali kuwa ni mjamzito.
Tatizo sasa binamu na familia ikijua nitakuwa nimeumbuka vibaya.
Sina la kufanya, kutoa mimba kwa imani yangu ni sawa na kuua na sitaki kufanya hilo.
Nimekwama ndugu yenu. Mawazo kibao.
Wapendwa!

Kaizer dahhh umepotea mno jamani.Habari ya siku mingi rafiki
Huenda imani take kuzini ni luksa Tena sio luksa tu bali ni luksa kwa mtu yeyote hata ndugu we twende kazini.
Kifupi umeniboa sana mtoa mada.
Kwani matangazo yalojaa tele mpaka kwenye maguzo ya umeme yakutumia kinga,wewe unakuaje unaisikilizia utamu namna hiyo mpaka unaharibu? sasa jifunze kutokana na makosa lo mimba mtoto azaliwe kama wako leo na kama si wako pia lea manake mwanakulitafuta mwanakulipata...Wapendwa,
Mchumba wa binamu yangu alihamishiwa Dar kikazi kutoka mkoa fulani hapa Tz. Kwa kuwa nina nafasi ya kutosha nyumbani kwangu aliponiomba kuja kuishi hapa kwa miezi kadhaa wakati anajipanga sikuwa na hiyana.
Amefika kwangu mwezi wa 11 ilipofika January tukaanza kufanya ngono, sasa wiki iliyopita amenionyesha cheti cha hospitali kuwa ni mjamzito.
Tatizo sasa binamu na familia ikijua nitakuwa nimeumbuka vibaya.Sina la kufanya, kutoa mimba kwa imani yangu ni sawa na kuua na sitaki kufanya hilo.
Nimekwama ndugu yenu. Mawazo kibao.
Familiya yenu imeingia katika mgogoro MkubwaHuyo ni mchumba sio mke.
Hakuna tatizo badili mwelekeo wa upepo.
Tangaza ndoa, watakushangaa kwa muda mwisho utakuwa ushapata mke na mtoto.
Wote tunatenda dhambi ILA wenzio huwa tunajitahidi kuficha maovu yetu.
Hawa wadada nao usikute Alikuja kwako kwa mission maalum na wewe kwa kupenda Wanawake weupe wenye mizigo ukaingia bila kinga.
Pole sana
Hapo hakuna undugu tena mkuu,Hauwezi kusafari mkoa anaoishi binadamu yako au hata na kaka/dada zake tumbo moja ukafikia kwao ukiwa na huyo mke katika maisha yako yaliyobaki hasa kama uchumba ulikuwa unafahamika kwa familiyaWeka kila kitu wazi. mtoto hafichiki. atakayenuna anune, atakayechukia achukie. limekwishatokea na halirekebishiki. mlee mtoto kwa 100%. maneno yatasemwa na undugu utabaki kuwa pale pale. uwanaume ni kuwajibila kwa matendo yako.